huyu mwanaume ananishangaza

Yaani rafiki umekuja kunisema huku?. acha nikueleze wazi nakupenda kuzidi hao nilio nao na ninampango wa kuwaacha. unanipagawisha hasa upana wa kiuno chako (nyonga) ukivaa nguo za kupana papuchi inavyo jichora mi hoi, we nipe tu kikojoleo nioshe BDK
 
usikubali kuwa nae hta kidog kam hatki muendelee kuwa friend wa kawaid mpotezee cz akishapta anachokitak atasepaaa

Acha wivu wako ungekuwa wewe ungenikataa?. hebu tuache tufaidi. akinikataa nakuja kwako.
 
Wasichana bhana! Sometime mnakuwa kama na akili za kuku.. Sasa wewe jamaa amekutokea unashindwa fanya maamuzi mpaka uje kuomba ushauri hapa.
 
I blv in friends btn man n woman..
Kikubwa ni we kama mwanamke kua na msimamo cz mwanaume kutongoza au kuntamani mwanamke kwao ni kama pai na ukimpa hakatai lakn wewe ukiwa na msimamo hatokung'ang'aniza na heshima itaendelea kuwepo we mpk umeleta hii thread hapa unaonekana unavutiwa nae pia sasa go 4im uone ka huo urafk wenu utakua maradufu!!!!
Mwanamke jielewee
 
Labda kashachoka kuwa player na kaona wewe umetulia kuliko wanawake ambao amekuwa nao,suala hapa sio kuongezwa kwenye idadi suala ni dhamira yake na yako,kama unahisi he is for real then go for it,ila kama unaona bado hawezi kutulia achana nae muendelee kuwa marafiki wa kawaida...

Alafu wewe umekuwa na rafiki mzinzi hata kumshauri au kuchunguza kwanini anayafanya hayo umsaidie unamuangalia tu na ndo kwanza unaenda kusuruhisha maugomvi yake,kama unampenda anza kwanza kumtoa huko then badae muweke kwako awe wako(kwasabb inaonekana unampenda na umefurahia alivyokupa ukweli ila tabia ndo kikwazo na list pia)

Wanaume wakati mwingine huwa tunaruka sana ila kuna kona tukifika huwa hatuzungushi tunatulia tuliii,inawezekana jamaa anataka kutulia sasa

Sent from BlackBerry 9520
 
Ngalikihinja utakuwa mpira huujui, hujawahi hata kuskia kocha mchezaji? Hahaha
 
Last edited by a moderator:
Ngalikihinja utakuwa mpira huujui, hujawahi hata kuskia kocha mchezaji? Hahaha
wachache sana hao... Usione akina Molinyo, fagasoni etc wanafundisha kwa mafanikio... Ukimwambia akacheze namba anayoona inapwaya utachoka na utacheka
 
Last edited by a moderator:
Rapherl hapa tuna deal na uncertainties, myb kachoka kua player or myb not, ts like a gamble and am not that good playing games


Am jus a friend I dnt have to judge him

Nimejaribu zaidi ya mara moja kumuuliza why asimuache mmoja akabaki na mmoja, utetezi wake ni kwamba anawapenda wote, ametoka nao mbali kila mmoja ana umuhimu wake na hawezi kumuumiza Hata mmoja hapo ndo napokwama kama rafiki namuacha aendelee nao tu
 
Last edited by a moderator:
Bidada hapa kama unamkubali mkubali tu (Better the devil u know) ama kama huwezi kumkubali ni sawa pia.
Kwa sababu hapa tunaweza kukushauri umkatae kisha kesho ukaleta uzi hapa kwamba sijui "jamaa mzito kitandani" ama "hafanyi care tena"
Tukabaki na aibu zetu


 
Mpe tu kimya kimya kwanza mnajuana so itakua easy
 

huenda anakujaribu akuone akili yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…