Huyu mwanamke yukoje

Huyu mwanamke yukoje

Niambie Tu

Senior Member
Joined
May 29, 2022
Posts
198
Reaction score
363
Habari kabla sijalala ngoja nije na hii.

Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.

Nina mke ambaye muda wote kisirani.

Ananuna nuna muda wote.

Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.

Wanaume Tunapitia mengi halfu yeye anaona kawaida.

Hana mawasiliano na ndugu zangu Wala majirani wanaomzunguka.

Aisee ntakuja kumuacha tu
Ni
 
Mfanyie reforms huyo
20250612_190153.jpg
 
Mawasiliano na ndugu zako ili iweje ??

Kama anajua malezi na Kazi iliyomleta vumilianeni

Kifo kuwatenganisha
 
Nina mke ambaye muda wote kisirani.

Ananuna nuna muda wote.

Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.
Mkuu mwanamke kununa nuna huwa ni ishara kuwa HUJAMTOMBAA inavyotakiwa, mara nyingi wakiwa na nyege huwa wanakuwa na kisirani kisicho na sababu. JITATHMINI.

NOTE: Kama ananunia hadi majirani hio ni ishara kuwa ana nyege za mda mrefu zinamsumbua (hizi ni issue za hormones), Ingekuwa anakununia wewe peke yako tungesema amepata mchepuko.

Man up, chunguza kwanza madhaifu yako na uyafanyie kazi then utayaona ya mwenzako kirahisi sana.

Mwisho, inaonekana na wewe una Umaa fulani hivi wa kulalamika lalamika. Jifunze kukaza mtoto wa kiume, misimamo na jitahidi uwe kiongozi kwa Mkeo.

Be a Man, penetrate her bila huruma.
 
Habari kabla sijalala ngoja nije na hii.

Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.

Nina mke ambaye muda wote kisirani.

Ananuna nuna muda wote.

Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.

Wanaume Tunapitia mengi halfu yeye anaona kawaida.

Hana mawasiliano na ndugu zangu Wala majirani wanaomzunguka.

Aisee ntakuja kumuacha tu
Ni
Looh, umekuja kunianika humu?
 
Humtombioo vizuri
 
Hiyo ndio safi kijana unafanya kazi 👏 mwanaume ndo inatakiwa hivyo 👊 kama anakupa mbunye safi tu👍

Ila bro mkeo Kuna kitu unamkosea, mtoe out, mpe zawadi, piga nae stori alafu utagundua anachotaka Nini, 🔰
 
Kama utaendelea kuishi na Mwanamke wa hivyo,basi anza kabisa kuulizia Bei ya majeneza kisha ulipie kabisa ili usije ukasumbua watu.
 
Kama utaendelea kuishi na Mwanamke wa hivyo,basi anza kabisa kuulizia Bei ya majeneza kisha ulipie kabisa ili usije ukasumbua watu.
Huyu mwanamke loyal, tulikubaliana mwanamke unabalansi mafiga matatu usibabaishwe na mmoja. 1. Pesa 2. Mkazo 3. Wa kutamba nae 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom