KIBONG'OTO
Member
- Jan 19, 2013
- 12
- 0
Wakuu naombeni ushauri kuna mpenzi wangu tuna muda wa miezi mitatu sasa katika mahusiano yetu, ila simuelewi nikimpigia simu anachelewa kupokea au asipokee kabisa ni kimuuliza tatizo nini anatoa sababu zisizo za msingi, mara nyingi mi ndo mpigaji sana wa simu na nikikaa kimya kuto kumpigia anitafti, kuna siku nilimuuliza bado ananipenda akanijibu yuko njia panda na ajielewi na muda mwingi simu yake inakuwa busy sana nikimpigia wakati wa usiku ,wakuu naomba mnisaidie nifanyeje? bado namhitaji
Wakuu naombeni ushauri kuna mpenzi wangu tuna muda wa miezi mitatu sasa katika mahusiano yetu, ila simuelewi nikimpigia simu anachelewa kupokea au asipokee kabisa ni kimuuliza tatizo nini anatoa sababu zisizo za msingi, mara nyingi mi ndo mpigaji sana wa simu na nikikaa kimya kuto kumpigia hanitafuti, kuna siku nilimuuliza bado ananipenda akanijibu yuko njia panda na hajielewi na muda mwingi simu yake inakuwa busy sana nikimpigia wakati wa usiku, wakuu naomba mnisaidie nifanyeje? bado namhitaji
akavunje nazi? Au yai?
Acha fikra za ulezi wewe........mwenzako anamaanisha Clouds FM,njia Panda
hapo kwenye 'ulezi' unamaanisha kulea watoto ama ulezi wa uji?
wakuu naombeni ushauri kuna mpenzi wangu tuna muda wa miezi mitatu sasa katika mahusiano yetu, ila simuelewi nikimpigia simu anachelewa kupokea au asipokee kabisa ni kimuuliza tatizo nini anatoa sababu zisizo za msingi, mara nyingi mi ndo mpigaji sana wa simu na nikikaa kimya kuto kumpigia hanitafuti, kuna siku nilimuuliza bado ananipenda akanijibu yuko njia panda na hajielewi na muda mwingi simu yake inakuwa busy sana nikimpigia wakati wa usiku, wakuu naomba mnisaidie nifanyeje? Bado namhitaji