Mpe mchongo mzima mwana kuwa demu amesema ukikubali ataniruhusu nimgegede! Then mnampotezea wote maana inaonekana anahuruma sana huyo manzi.
Kumbuka kutumia vitakasa mikono!!!
Duuuh,yaani unamtaka mtu halafu anakuja anakwambia me namtaka rafikiyo. Inachoma hii😂
Ila mkuu umepewa ofa ya 2 in 1 kama unaimudu hiyo dhambi kila la heri. Au ulitaka kuoa?
Kaka maisha mafupi ukiangaika na wanawake unajiua mwenyewe.
Mimi niliambiwa yuko bleed asubui najiandaa kwenda job saa 11 asubui nakatiza corridor nasikia love sounds.. ikabidi nighairi kutoka after 15 minutes akatoka na ndoo kwenda kuoga ndipo nilipopata final confirmation, mara dume Hilo linatoka.
Huyo Dada tulikuwa tumepanga nyumba moja.
Nilichogundua ni:Wanawake wanaua afu wakatili sana hawathamini mioyo ya wanaume tunaowapenda kwa dhati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.