juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
Tulia wakusaidie kuleaMapenzi hayana mjanja,unaweza kuwa mjanja na ukanasa kwenye penzi kwa mtu mlugaluga hadi watu wakakushangaa,au ukanaza na kuzama kwa mtu malaya.
Sasa hii imenitokea mimi.kuna mrembo nimemzimia ni balaa ila ananipa stress sana.kwa sababu tangu tujuane yeye kila siku ifikapo saa 6 usiku nikipga simu yake anakuwa anatumika,saa zingine hata saa 8 usiku inatumika,ukiuliza anakwambia anaongea na marafiki zake,sasa kibaya zaidi siku akilala kwangu simu yake huwa anaizima na anawasha tukishaagana.mara nyingi huwa namrudisha kwao na gari yangu asubuhi.nalazimika kumrudisha na gari yangu kwa sababu anakaa sinza rego,na mimi nina duka langu pale sinza kumekucha,so ni kama nampa lifti tu
Waungwana nifanyeje maana ananipa mawazo sana juu ya hilo jambo.na nimezimika vibaya kwake kiasi kwamba natamani nimpe mimba na yeye ili aniongezee idadi ya watoto
kabla ya mimba...anza na vvu then mimba. bonge la sequenceMapenzi hayana mjanja,unaweza kuwa mjanja na ukanasa kwenye penzi kwa mtu mlugaluga hadi watu wakakushangaa,au ukanaza na kuzama kwa mtu malaya.
Sasa hii imenitokea mimi.kuna mrembo nimemzimia ni balaa ila ananipa stress sana.kwa sababu tangu tujuane yeye kila siku ifikapo saa 6 usiku nikipga simu yake anakuwa anatumika,saa zingine hata saa 8 usiku inatumika,ukiuliza anakwambia anaongea na marafiki zake,sasa kibaya zaidi siku akilala kwangu simu yake huwa anaizima na anawasha tukishaagana.mara nyingi huwa namrudisha kwao na gari yangu asubuhi.nalazimika kumrudisha na gari yangu kwa sababu anakaa sinza rego,na mimi nina duka langu pale sinza kumekucha,so ni kama nampa lifti tu
Waungwana nifanyeje maana ananipa mawazo sana juu ya hilo jambo.na nimezimika vibaya kwake kiasi kwamba natamani nimpe mimba na yeye ili aniongezee idadi ya watoto
Kwakua mkiwa naye anazima simu yake ili mkae na kufanya yenu kwa utulivu,vivyohivyo akiwa hayupo kwako mwachie Uhuru wake,kama hauwezi hilo basi amua kuchemsha au kukaanga.Mapenzi hayana mjanja,unaweza kuwa mjanja na ukanasa kwenye penzi kwa mtu mlugaluga hadi watu wakakushangaa,au ukanaza na kuzama kwa mtu malaya.
Sasa hii imenitokea mimi.kuna mrembo nimemzimia ni balaa ila ananipa stress sana.kwa sababu tangu tujuane yeye kila siku ifikapo saa 6 usiku nikipga simu yake anakuwa anatumika,saa zingine hata saa 8 usiku inatumika,ukiuliza anakwambia anaongea na marafiki zake,sasa kibaya zaidi siku akilala kwangu simu yake huwa anaizima na anawasha tukishaagana.mara nyingi huwa namrudisha kwao na gari yangu asubuhi.nalazimika kumrudisha na gari yangu kwa sababu anakaa sinza rego,na mimi nina duka langu pale sinza kumekucha,so ni kama nampa lifti tu
Waungwana nifanyeje maana ananipa mawazo sana juu ya hilo jambo.na nimezimika vibaya kwake kiasi kwamba natamani nimpe mimba na yeye ili aniongezee idadi ya watoto
Hajambo mkuuTeh,Mama Moreen hajambo lkn