inspector shamba
Member
- Aug 16, 2015
- 98
- 33
Duuh!!!! Sijui nimesoma vibaya au nime elewa vibaya?
Umesema mdada anajielewa?
Mbona unayo ya lalamikia haya endani na mtu ane jielewa?
utakuwa hujaelewa tuu
Teh teh teh teh!! Sijui kaka yako naye ataletaga aibu zangu huku!! Mbona nitaning'inia kwenye mbupu zake.
We si uwe unamyoa tu kwan kuna shida gan,?we kila week hakikisha umemnyoa...ukifanya ivo ndani ya muda mfup atabadilika
haaaa malaya ni wew na lofa ni wew mwenyewe ujajifanya mtu wa ibada mjinga kweli na una unaakili fupi kama mkia wa mbuzi
Dada winnie wewe huwa unanyoa?
Mshauri asuke.Nishamuuliza akasema anapenda tuu kuyafuga
Mkuu hapo kwenye red unataka kumaanisha apake pico au super black:what::what:
haaa tangu mwezi wa kumi na mbili..??? sipatii picha huo muamazoni ulivyo...wepa picha basi tuone