Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 710
habari zenu waote jf
Nina mahusiano na mdada mmoja hiv ni mzuri na ni mdada anayejielewa ila sasa kinachonichanganya na kunipa maswali mengi yeye huwa hapendi kabisa kunyowa sehemu zake za siri kabisa yani mpaka unakuwa ugomvi ukimwambia kuwa nyowa huko chini.
Nakumbuka mara ya mwisho alinyowa mwezi wa kumi na mbili tena kwa kugombana sana na mimi ndiyo kanyowa
hiv mdada huyu anamanishaga nini? Au nini hasa sababu ya kugoma kunyowa ?
Naombeni msaada hata wa mawazo nimfanyeje? au niachane naye tuu ?
msaada jamani
Umalaya utakuua mpumbavu na lofa mkubwa. leo siku ya ibada unawaza umalaya. Ulaaniwe
Umalaya utakuua mpumbavu na lofa mkubwa. leo siku ya ibada unawaza umalaya. Ulaaniwe
haaaa malaya ni wew na lofa ni wew mwenyewe ujajifanya mtu wa ibada mjinga kweli na una unaakili fupi kama mkia wa mbuziUmalaya utakuua mpumbavu na lofa mkubwa. leo siku ya ibada unawaza umalaya. Ulaaniwe
mmmh jamani
Majibu yote anayo yeye.
Muulize
yanyoe kwa panga
Umalaya utakuua mpumbavu na lofa mkubwa. leo siku ya ibada unawaza umalaya. Ulaaniwe