Huyu mwanamke anayechapwa atakuwa mkoa gani au ni Mara tena?

Bila kujali matukio haya yanafanyoika wapi ama upande upi wa nchi, tunatakiwa kuyakemea vikali sana maana ykatika zama hizi yanaweza kuleta madhara makubwa.

Ilikua ni kawaida zamani kumwadhibu mtu aliyefanya kosa kubwa katika ngazi ya familia ama ukoo kwa mtindo huu, lakini kwa sasa HAPANA.

Ni bora afikishwe kwenye mamlaka zinazohusika wakashughulikia suala hilo badala ya kuchukua sharia mkononi
 
Nasubiri jibu maana ingekuwa ni Mara ungeisikia tu

Mwanamke anachapwa na wanawake wenzie sasa hapa tuwasubiri wale wa haki sawa na unyanyasaji wa kijinsia + mfumo dume /jike ,ila hawa kwa lugha hii wanayo tumia wanatoka kanda ile pendwa sana na aliye juu.
 
Waafrica katika ubora wao.. bara la giza totoro hili... Tanzania inaendelea taratibu saaaana
 
yeye mwenyewe anakili amekosa lkn nyie mnateeta ujinga acheni watu na mila zao
 
Back
Top Bottom