Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,006
- 5,672
Tigo, express yourself! itajazwa vochaHapo vip!!
Embwana kudemu mmoja hapa kitaani ,japo mimi pande hizi za kwao mimi ni mgeni coz sina hata miezi 3,sasa siku moja nimetoka zangu kwenye mishe zangu mara nikakutana nae maeneo na nipo ishi.
Then kugeuka nikajikuta nae ananiangalia ikabidi nijikaze nikamuita then nikamsalimia kama kawaida nikamuomba number akanipatia.
Tukaendelea kuwasiliana kama siku 2 mbili hivi then nikamkaribisha kwangu siku moja bila hiyana akaja.
Days back sijamtongoza,so alivyokuja geto alivyovaa kimtegotego ikabidi nirushe nduano hapo nikajikuta nakula mzigo.But nilimuambia tunapeana raha then kila mtu atakuwa free kwenye mambo yake.Na Mimi nina mchumba wangu
Sasa chakusikitisha huyu demu amekuwa ananisumbua Sana aniambia anataka tuendeleze game,so ili kumuonyeshe ilikiwa napita tu kama nilivyo muambia nimekuwa sireponse simu wala sms zake.
Sasa juzi ameniambia lazima aje na wahuni wanifanyizie hapo ninapokaa labda niame ndio salama yangu.
Sms zake zote za vitisho nivyo and alafu mimi nimemdate siku moja sasa imekuwa kama nimempa mimba nikamtelekeza.
Hapa nawaza niende police nikamreport au nimpoteze niwasubiri hao wahuni wake.
Haya bhana nashukuru kwa kunitakia mabaya lakini angalia hayo maneno yasikugeukie.Mkuu niachie password zako za jf nitawapa wana mrejesho, wadau na nyie naomba msijemkasumbua kutoa rambirambi za mwenzetu huyu, mi tayar nisha andaa sanda, wanawake wote andaeni machozi, njemba zote mjiandae kuchimba kaburi, mods watatusaidia jeneza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah jamaa aremba etiiWewe ni fala kabisa,yaani unatishiwa maisha na mtoto wa kike unakuja humu,si umtomb.,./e tu kama shida yake ni hyo?umetokea mkoani lini?
Sio issue ya mkoa gani mkuu ni kwamba ninachokiona anataka aje aniharibie kabisa hata kwa yule lazizi wa moyo,imaging niendelea kumfunua,Je,siku yule yupo sio ndio atajileta kabisa alafu avuruge mambo.Wewe ni fala kabisa,yaani unatishiwa maisha na mtoto wa kike unakuja humu,si umtomb.,./e tu kama shida yake ni hyo?umetokea mkoani lini?
ilinitokea hii..alinilazimisha sana..nikasaka mundende,puturuu,vumbi ya Kongo..aisee,acha tu..wakongo washenzi sanaMuite tena mpige mambo then mpotezee mpaka atakapojua anatumikishwa kingono atakuacha
Wewe ni fala kabisa,yaani unatishiwa maisha na mtoto wa kike unakuja humu,si umtomb.,./e tu kama shida yake ni hyo?umetokea mkoani lini?
Watu mna macho asee..kumbe nawe umeona ?!!!(sireponse) ndio nini? kifimbo chenza anakuhusu