Kama huwezi kumla ki masihara mruhusu akule kimasihara.
What condoms for?!How old are you?
Okay just make sure you carry condoms, just in case.
Wewe ni mwanaume?Wakuu habarini za jpli natumahi mpo poa kabisa kama mh Sabaya anyway nije kwenye point.
Kuna ka demu kamoja kameamia nyumba niliyopanga kapo chul sasa kiukweli toka kameamia hapa ni nyumba ambayo inawapangaji wengi sasa watu wamekuwa wakikisifia kuwa ni karembo sana na shobo za hapa na pale japokuwa mimi sina shobo nae maana mimi hulka yangu uwa sio mtu wa kumfahamu mtu ghafla ghafla
Sasa juzi kati kademu nimekutana nacho kalikuwa kanatoka kuoga kakawa kananiambia kaka nasikia unaimba nipe nambaako ya whatsapp ntakucheki sapu mida unirushie ngoma zako.
Nikamjibu sawa nikampa then nikasepa sasa jioni kameanza kunichatisha mambo nikawa nachati nacho sasa naona mada kanazoongea hazieleweki mara nilikuwa nakusalimia mara hivi sasa nije kwenye point kuu kamezidisha mazoea now na mimi nataka nikale kimasihara bila kutongozana je wakuu nitumie mbinu gani nimle na nisipigwe hela iwe kimasihara then muhuni nipite zangu kushoto?
Hivi huyu ndio Kenny Trump Mzee wa vimodo?Ile aidii yako ya kenny trump ilipatwa na nini?
Kwa hiyo
πππ Mnapendaga vinono ila hela zinawauma.Nataka kumla kimasihara na nisipigwe hela
Muite geto alafu mle kimasihara ..Wakuu habarini za jpli natumahi mpo poa kabisa kama mh Sabaya anyway nije kwenye point.
Kuna ka demu kamoja kameamia nyumba niliyopanga kapo chul sasa kiukweli toka kameamia hapa ni nyumba ambayo inawapangaji wengi sasa watu wamekuwa wakikisifia kuwa ni karembo sana na shobo za hapa na pale japokuwa mimi sina shobo nae maana mimi hulka yangu uwa sio mtu wa kumfahamu mtu ghafla ghafla
Sasa juzi kati kademu nimekutana nacho kalikuwa kanatoka kuoga kakawa kananiambia kaka nasikia unaimba nipe nambaako ya whatsapp ntakucheki sapu mida unirushie ngoma zako.
Nikamjibu sawa nikampa then nikasepa sasa jioni kameanza kunichatisha mambo nikawa nachati nacho sasa naona mada kanazoongea hazieleweki mara nilikuwa nakusalimia mara hivi sasa nije kwenye point kuu kamezidisha mazoea now na mimi nataka nikale kimasihara bila kutongozana je wakuu nitumie mbinu gani nimle na nisipigwe hela iwe kimasihara then muhuni nipite zangu kushoto?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama huwezi kumla ki masihara mruhusu akule kimasihara.