wiseman734
Senior Member
- Apr 29, 2018
- 137
- 210
Asee kuna wakati unaweza jikuta unafanya Jambo ambalo litawashangaza watuHahahaha anasemaje yan wewe kwamba?
Ni kweli kabisa yan Yale mambo mnasikia MTU amechinja mpaka ametenganisha kichwa na kiwili wili ndo yanaanziaga huku hukuAsee kuna wakati unaweza jikuta unafanya Jambo ambalo litawashangaza watu
kwa wazazi wakeKama sijakuelewa, anakukaribisha wapi ikiwa alishaolewa?
Hujui maisha ya awamu ya tano yamesababisha wanaume wa kweli kujikana?, Keshakwama alikoenda kipindi cha JK huyoAlikuwa Kipenzi cha roho yangu! Akanisaliti. Aliolewa miaka 5 iliyopita!
Leo hii ananikaribisha nyumbani! Anasema mm ndio nafahamika zaidi
Kweli wanaume tumeumbiwa mateso!Alikuwa Kipenzi cha roho yangu! Akanisaliti. Aliolewa miaka 5 iliyopita!
Leo hii ananikaribisha nyumbani! Anasema mm ndio nafahamika zaidi
Hahahaaa aseee unamfanyaje sasa yeye ndio mjingaKweli wanaume tumeumbiwa mateso!
Hata hilo ni mojawapo ya mateso!
Kuna wakati wanawake wanatuona hatuna akili kabisa za kuwazia maisha yetu!
Nawewe utakarbia....????kwa wazazi wake
Ndicho kinachonishangaza
Hapana mkuuNawewe utakarbia....????