Kama mwalimu mwenyewe ni wewe kuna haja kuhasiwa!
Jela inakusubiri weye! Shauri yako usipokuwa muangalifu na kutumia kichwa cha juu badala ya cha chini kufanya maamuzi itakula kwako.
Hakuna sheria yeyote inayosema ukichapa mwanafunzi unafungwa,acha kupotosha
Hakuna sheria yeyote inayosema ukichapa mwanafunzi unafungwa,acha kupotosha
Loh!!!! kweli kada ya ualimu sasa ni yakihuni huni, mwalimu mwenye ethics za ualimu mwanafunzi anawezaje kukufuata nyumbani kwako???????? acha tabia yakujirahisi wewe mwalimu wa kiume wewe, jua KESHO NAWEWE utakuwa mna mtotio na utamkabidhi binadamu mwingine akulelee kaama ulivyoaminiwa wewe na sarikali.
Jela inakusubiri weye! Shauri yako usipokuwa muangalifu na kutumia kichwa cha juu badala ya cha chini kufanya maamuzi itakula kwako.