Rogers toni
Member
- Aug 1, 2018
- 6
- 1
kwa mwaka 2013 form 4 kulikua na daraj E ndo maana kulikua na div3 ya 30. jaribu kufatilia matokeo ya mwaka 2013 utaona.Olevel kuna daraja E mkuu?
daraja la mfugaleDaraja linakazi gani wewe beba credit zako songa mbele hayo madaraja urembo tu ,
OK sawakwa mwaka 2013 form 4 kulikua na daraj E ndo maana kulikua na div3 ya 30. jaribu kufatilia matokeo ya mwaka 2013 utaona.