Huyu mwanadada ni mpuuzi!

Huyu mwanadada ni mpuuzi!

Kwani siku hizi huendi kazini..... Inaonekana unashinda tu nyumbani kufatilia maisha ya watu
Kibarua kiliota nyasi mkuu! Kuna mwanadada nilimkataa akanichongea kwa boss, nilifunga duka langu, lilifilisiwa na bidada mmoja (nahisi nishawahi kuleta uzi wa dalili za kufilisiwa) [emoji3064]

Sema kuna mchongo nauskilizia, kesho na kesho kutwa niingie kazini!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Niko Dar! Kwasasa nimechili zangu kwenye hii bar ya sweet Corner nazimua akili kidogo huku nikiskiliza ngoma ya Bakanja kutoka Congo, ndo imefikia Chorus!
Ahaa upo daslamu sio, hivi sweet corner ndo pale corner bar? Africa sana kuna wauza utumbo hapo pisi kali
 
Kibarua kiliota nyasi mkuu! Kuna mwanadada nilimkataa akanichongea kwa boss, nilifunga duka langu, lilifilisiwa na bidada mmoja (nahisi nishawahi kuleta uzi wa dalili za kufilisiwa) [emoji3064]

Sema kuna mchongo nauskilizia, kesho na kesho kutwa niingie kazini!
Nishaukumbuka huo Uzi..... Basi achana na madem..... Utaendelea kufilisika.... Tafuta mwanamke timamu na sio dem
 
Kibarua kiliota nyasi mkuu! Kuna mwanadada nilimkataa akanichongea kwa boss, nilifunga duka langu, lilifilisiwa na bidada mmoja (nahisi nishawahi kuleta uzi wa dalili za kufilisiwa) [emoji3064]

Sema kuna mchongo nauskilizia, kesho na kesho kutwa niingie kazini!
Hahaha endelea kusikilizia Mungu ni mwema
 
Ahaa upo daslamu sio, hivi sweet corner ndo pale corner bar? Africa sana kuna wauza utumbo hapo pisi kali
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukijichanganya pale Africa sana unaweza kutana na jirani yako wa kike! Mkabaki mnashangaana kwa aibu! Ili kuondoa aibu unaona ni heri umnunue ukamgegede! [emoji23][emoji23]
 
Ndo hivyo mkuu, Bora niwe na mazoea na 30+ au wake za watu! Sema huyu 30+ wa juzi kaniliza 67k na kuna mke wa mtu kidogo asababishe wayatatue! [emoji3][emoji3]
😂😂Endelea naye huyo wa 30+mkuu.Ila mke wa mtu potezea
 
Nianze kwa kujielezea kuwa mimi ni kijana kauzu hapa mtaani, sinaga umama, mazoea na vibinti mwiko! Kuna binti alileta mazoea ya kiwaki nikamnasa makofi! Hata nikikutana nao ni no salamu, no everything! Eboo [emoji34][emoji34][emoji34]

Kuna kibinti kizuri kweli, narudia tena ni kizuri na nina imani ipo siku nitakigegeda! [emoji39]. Huwa kinapita maeneo ya ghetoni, nami nakitupia jicho kulisindikiza zigo laini linalomlemea, anafahamu fika kuwa nimetokea kuvutiwa naye sema udomo zege sasa [emoji23][emoji23][emoji23] Hapana, ukauzu wakuu [emoji34][emoji34] sitaki mazoea na vitoto, ala!

Leo kanipita karibu yangu nikaamua kupanua domo nikamwambia, "Sorry sister, unaweza simama walau dakika moja tuzungumze!" Akaishia kubenjua domo lake na kuendelea na safari, nikaishia kumsonya tu! Kitoto cha watu kimenibabua na mpira usoni, hasira zote zilizosababishwa na yule mwanadada kunidharau zimekaishia maskini! [emoji3064][emoji3064]

Jioni mida ya saa 1 hicho kidada kikasogea maeneo ambayo mimi huwa nakaa ku refresh mind (ni pale pale uwanjani karibu na gheto), nilipogundua hilo, nikaamisha makao, lakini bado kikajisogeza karibu na mimi huku kikijichatisha! Nilivyomkazia macho akanisogelea akanambia, "Samahani kaka yangu, eti mchana ulinisemesha? Ni kama vile sema kichwa kilikuwa na mambo mengi" Nikamwambia sipendagi dharau [emoji34][emoji34] Nikaamka nilipokuwa nikaingia ghetoni, dakika tano natoka nje namkuta ukutani kaegemea huku anawaza!

Kakosa cha kufanya, Ni mpuuzi!
Huna akili
 
Back
Top Bottom