Huyu mwalimu vipi?

Ukifuata unachotaka kwanini usimakinike.....
 
Wanafunzi watamakinika na masomo?
kwakuwa amekata tamaa,
kwakuwa anafundisha na wanafunzi wanafeli
ameamua awape raha wanafunzi wake na yupo tayari kwa mtu yeyote kuleta maombi
 
Inategemea alikua anafundisha somo gani, inawezekana ilikua Kitchen party, huwezi jua mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…