pole sana binti. soma post #59 kwenye thread ya uvumilivu ya gfsonwinhabar wana jf!nawapenda sana kwa ushaur ambao mumekuwa mkiutoa hapa!
mimi ni mwanamke mwny miaka 24 nimeolewa miaka 6 iliyopita!
nina mtoto wa miaka 3
mume wngu ana miaka 48 aliponiowa alikuwa ana mke lakn sikugundua nligundua bda ya mwaka 1 kupita akawa amedanganya kwtu kuwa mkewe walishaachana kumbe ilikuwa uongo na vile alishatoa mahar na tulikuw tunapndana nkaona maisha yaendelee (hapa msipajadili sana nlishakosea)bda ya miaka 3 yule mkewe aliondoka akatelekeza watoto akaolewa na mt mwngne! ikabidi wale watoto wake niwachukue nikawa naish nao nymbani kwangu tulikojenga na huyu baba yao!
kiukwel huyu baba nlianza nae maisha akiwa na pesa m.1 tukawa tunalala chn na kabiashara kadg sa hv ana magar2 nyumba ambavyo amevpata tukiwa pamoja na ofcourse anajal familia na me mwnyewe
kinachnifanya niombe ushauri ni umalaya wa kupindukia alionao mwez wa tan nlisafir kma wki moja kurud nkakuta kamnunulia dada mmoja kitanda na vtu vya ndan ikiwa ni njia ya kumtaka kimapnz bda ya kununua yule dada akamtosa kwan alikuwa na boifrnd mume wangu akamzisha ugomv kudai hvy vit kwa jins nlivyoelezwa
hakuna sket inayompita awe housgirl au rafki yang nimevumilia nimechoka sasa naona imetosha lakini kikubwa sina pa kuanzia naogopa kuwaeleza wazaz wangu kwan wataniambia nirud nyumban hata leo nafikiri maisha ya hawa watoto wake bada ya mimi kuwaacha kwan nimekuwa kma mama yao na msaada kwao.
mume haambiliki na wala hawezbadilika nshaongea nae sana imeshndikana
wana jf naombeni ushaur wa kina nahs kuchanganykiwa
nb!
blaine n kurt wewe unahatari...........je wafikir anaweza kuwa vile? kama anaweza ni dawa sanapole sana binti. soma post #59 kwenye thread ya uvumilivu ya gfsonwin
it's inspirational gfsonwin, at least ataona tatizo lake lina solution na atatafuta njia mbadalablaine n kurt wewe unahatari...........je wafikir anaweza kuwa vile? kama anaweza ni dawa sana
Huo mwaka na magonjwa yatakusubiri? shaurioro shosti, mtaji ukitosha usije tumika kukutibu fanya maamuzi ya busara ikiwa bado mapema! ila kama umeamua kukaa kaa ila usilete sababu ya kua unatafuta mtaji haya mwaya usije sema hatujakwambianashukuruni kwa ushaur wenu me nlichofikiria nakaa mwaka mmja nijifanye napotezea mtaji wangu wa biashara utoshe niondoke nkaanze maisha yangu!vijana weng wananisumbua na wngne wasiojua nmeolewa nawakataa najiheshmu pamoja na uzur mungu alionipa naombeni muniombee niwe na ujasir wa kufanya maamuz haya magumu
habar wana jf!nawapenda sana kwa ushaur ambao mumekuwa mkiutoa hapa!
mimi ni mwanamke mwny miaka 24 nimeolewa miaka 6 iliyopita!
nina mtoto wa miaka 3
mume wngu ana miaka 48 aliponiowa alikuwa ana mke lakn sikugundua nligundua bda ya mwaka 1 kupita akawa amedanganya kwtu kuwa mkewe walishaachana kumbe ilikuwa uongo na vile alishatoa mahar na tulikuw tunapndana nkaona maisha yaendelee (hapa msipajadili sana nlishakosea)bda ya miaka 3 yule mkewe aliondoka akatelekeza watoto akaolewa na mt mwngne! ikabidi wale watoto wake niwachukue nikawa naish nao nymbani kwangu tulikojenga na huyu baba yao!
kiukwel huyu baba nlianza nae maisha akiwa na pesa m.1 tukawa tunalala chn na kabiashara kadg sa hv ana magar2 nyumba ambavyo amevpata tukiwa pamoja na ofcourse anajal familia na me mwnyewe
kinachnifanya niombe ushauri ni umalaya wa kupindukia alionao mwez wa tan nlisafir kma wki moja kurud nkakuta kamnunulia dada mmoja kitanda na vtu vya ndan ikiwa ni njia ya kumtaka kimapnz bda ya kununua yule dada akamtosa kwan alikuwa na boifrnd mume wangu akamzisha ugomv kudai hvy vit kwa jins nlivyoelezwa
hakuna sket inayompita awe housgirl au rafki yang nimevumilia nimechoka sasa naona imetosha lakini kikubwa sina pa kuanzia naogopa kuwaeleza wazaz wangu kwan wataniambia nirud nyumban hata leo nafikiri maisha ya hawa watoto wake bada ya mimi kuwaacha kwan nimekuwa kma mama yao na msaada kwao.
mume haambiliki na wala hawezbadilika nshaongea nae sana imeshndikana
wana jf naombeni ushaur wa kina nahs kuchanganykiwa
nb!
Hujambo Mende0 nimekumissTatizo umeolewa ukiwa hujakomaa kiakili.
Sasa una umri wa miaka 24 mmeo ni 48 alafu umeolewa miaka 6 iliyo pita kwa maana hiyo mmeo alianza mapema kukubaka
kweli wanaume hawana shukrani .binti kaamua kulitunza lizee hili akaacha kula ujana wake lizee lenyewe halitulii...loh!mtafutie dawa
wana dawa nasikia lol