Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,851
Wana Jf:-
Kuna mtu huyu Masai dada siku hizi haonekani kabisa hapa Jukwaani, please mwenye taarifa zake atujuze! nilizoea kumsoma sana hapa jukwaani.
Masai dada, popote ulipo toka mafichoni.
Nimekumic.
Atakuwa yupo bize na michakato ya mashindano ya umiss nadhani.
The End..;thread closed...