Huyu mtoto wa kike nimempa dawa inayostahili kakimbia

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Wanawake skuizi hamuolewi mnaishia kutumika kwa sababu ya tamaa zenu na sisi wanaume huwa tunakuja kama wewe unavyokuja kwetu yaani ukijifanya unatamaa kipindi cha mwanzo basi na wewe ukubali kuto mzigo hapo hapo

Kuna kabinti kaliniletea mazoea bwana siku ya kwanza tu kamenitext kakaomba hela hapo hapo, siku ya pili akaomba tena hela siku ya 6 kaanza kuomba simu mpya ya smartphone na vitu vingine vya thamani hapo kumbuka ndani ya siku mbili tu za kwanza kashaomba hela

Alivyoomba simu nikamwambia Aje aichukue nyumbani nimsetie vizuri na tuenjoy pia
IMG_7317.jpg

Akagoma kuja anasema eti nimeanza kutaka vitu vizuri kutoka kwake mapema hahaha, nimemtumia sms ya mwisho hiyo na sim kazima ndukiii

Watoto wa kike sometime wanaume tunakuwa na hela ila kudanga kwenu kunafanya mkimbiwe
 
Wanawake skuizi hamuolewi mnaishia kutumika kwa sababu ya tamaa zenu na sisi wanaume huwa tunakuja kama wewe unavyokuja kwetu yaani ukijifanya unatamaa kipindi cha mwanzo basi na wewe ukubali kuto mzigo hapo hapo

Kuna kabinti kaliniletea mazoea bwana siku ya kwanza tu kamenitext kakaomba hela hapo hapo, siku ya pili akaomba tena hela siku ya 6 kaanza kuomba simu mpya ya smartphone na vitu vingine vya thamani hapo kumbuka ndani ya siku mbili tu za kwanza kashaomba hela

Alivyoomba simu nikamwambia Aje aichukue nyumbani nimsetie vizuri na tuenjoy piaView attachment 2776736

Akagoma kuja anasema eti nimeanza kutaka vitu vizuri kutoka kwake mapema hahaha, nimemtumia sms ya mwisho hiyo na sim kazima ndukiii

Watoto wa kike sometime wanaume tunakuwa na hela ila kudanga kwenu kunafanya mkimbiwe
Kama hujawahi kuonana naye ana kwa ana itakuwa ulikuwa unachati mwanamme mwenzako....
 
Yupo napofanya mm kazi namfaham kabisa anafanya biashara ndogo ndogo alafu nilimuelewa sana angetulia mbona angekula mema ya nchi nla kaanza tamaa nikaona hapa huyu mdangaji
 
Back
Top Bottom