WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,018
Tasnia ya utangazaji wa radio kinachohusika ni sauti.Sasa nyie TBC Fm huyu mtangazaji wenu anaumwa kifua/kikohozi mpaka sauti haitoki vizuri,hamuoni mnakosea?Hakuna mbadala wa mtangazaji mwingine amshikie kipindi?
unategemea watu wachangie nini sasa hapa?

wewe ujaona kwani ,mbona kipo cha kuchangiaunategemea watu wachangie nini sasa hapa?
Tasnia ya utangazaji wa radio kinachohusika ni sauti.Sasa nyie TBC Fm huyu mtangazaji wenu anaumwa kifua/kikohozi mpaka sauti haitoki vizuri,hamuoni mnakosea?Hakuna mbadala wa mtangazaji mwingine amshikie kipindi?
Halafu TBC sio redio ya udaku acha kukariri!!! Unaji:confused2:Hii si karne ya wanajamvi kusikiliza redio za udaku kama hiyo kama huna cha kupost bora ukae kimya sasa sisi tusumbuke kucomment juu ya mtangazaji asiyekuwa na A wala B pole huo muda hatuna kwa sasa tunasumbukia mstakabali wa taifa hili la tz lililochoshwa na maescrow