fugees
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 2,868
- 884
Wanajamvi,
Kwa wiki mbili hivi kila asubuhi navotoka home kwenda kazini nakutana na huyu mwanafunzi utafikiri anakaaga getini akiona natoka tu naye anakuwa anaondoka basi namuona kwa nyuma alivojaliwa na maringo na mwendo wa kunjunja. Kama siku nne mfululizo sasa juzi ijumaa natoka getini sikumkuta hapo nikamkuta mbele wanaongozana na boda boda yeye akiwa kwa mguu, nikaona isiwetabu nichepuka kanjia kangu wenyewe wakawa wanaelekea kushoto.
Ghafla namkuta boda boda miguuni kwangu ananisalimia na kuniambie eti nimempa nini yule demu mana 'mi namtongoza anasema yani yeye halali kwako ananakosa usingzi kila asubuhi najihimu pale getini kwao nimuone tu. Dah nikashangaa nikwamwambia boda boda mi simfahamu ila namuona takribani kila siku za shule hapa kwa wiki mbili! Basi boda boda akanipa namba ya yule demu nikaona sio kesi nikachukua.
Sasa kimbembe kama siku mbili zimepita kila nikimpigia pokea anahema tu na kukata simu nikafuta namba yake kwa hasira. Sasa leo jumapili namuona hapa nyumbani yupo na mwenzie wamesimama nikamsalimia hakujibu nikaöndoka zangu. Sielewi anamatatizo au hata sijui. Nyie wadada tatizo nini si bora mtu uongee tu kuliko kujiumiza bule.