Huyu msichana ananiacha njia panda

Huyu msichana ananiacha njia panda

pweza mtam

Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
16
Reaction score
0
Habari wadau,

Naombeni ushauri. Kuna demu mmoja nampenda sana ila tangu tuwe kwenye mahusiano, ni muda sasa. Mpenzi wangu huyu simuelewi coz muda mwingne nampigia simu hapokei, nikimuuliza ananiambia hamna kitu kawaida tu.

Na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nikitaka kukutana nae anakata simu na anatuma sms na kusema ananipenda kwa dhati nisiwe na wasiwasi. Je wadau, kuna upendo kweli hapa au nifanyeje?

Ushauri wadau.
 
Kama ulimtokea kwa neno nataka kukuoa, bas ndo anakushikilia kwa ajili ya back up plan
 
hvi watu bado wanaingia na gia ya nataka kukuoa?!
 
Unataka akugande toa pesa
Mapenzi pesa mbele kama tai na ufundi mwingi kitandani
 
Ufundi apeleke veta...pesa ndo mambo yote
Cc:Zamaulid
Ndio ajipange kijana
 
Dogo shule na mapenz wapi na wapi? Mkamate sana elimu husimuache aende zake.
 
In this life if you want to be happy posses many women as you can, you will live happily. Huu ndio msimamo wangu always ukiwa na kadem kamoja mastress kibao. Pro-micheopuko
 
Mpaka matokeo ya form 6 yatoke mbona tutaona na kuckia mengi humu.
 
I hate when someone is really inlove with with someone who dont give a damn and took that someone for granted..apo unaliwa fanya yako
 
In this life if you want to be happy posses many women as you can, you will live happily. Huu ndio msimamo wangu always ukiwa na kadem kamoja mastress kibao. Pro-micheopuko

hy nzuri acha nifanye hvy
 
Attachments

  • 1431805171247.jpg
    1431805171247.jpg
    52.8 KB · Views: 320
Tuma namba za vocha feki , zikimgomea tu lazma akuulize, apo apo ndo umuulize kwanini alikua amekuchunia.
 
Umenikumbusha mbali sana nikiwa high skul....when life was stress free.
 
In this life if you want to be happy posses many women as you can, you will live happily. Huu ndio msimamo wangu always ukiwa na kadem kamoja mastress kibao. Pro-micheopuko

Ni kweli man....alaf hii kitu inasaidia sanaaa....unakuta akizingua huyu...upo huku...akizingua huku unaenda kule....in finance we called that " diversification " Lol unapunguza risks.
Akikupiga cha mbavu we wala humlambi miguu unamlia ganzi tu.... Atajishusha mwenyewe. Kama unavyo bargain kitu dukani unapiga mkwara wa kuondoka bdae unarudi....Lol
 
Ni kweli man....alaf hii kitu inasaidia sanaaa....unakuta akizingua huyu...upo huku...akizingua huku unaenda kule....in finance we called that " diversification " Lol unapunguza risks.
Akikupiga cha mbavu we wala huumii.... Atajishusha mw
enyewe. Ila fanya siri sana wasijuane....

Aisee akijua ni shida sana but hii inapunguza maumivu kabisa
 
Back
Top Bottom