We akija mwambie unampenda sana. usigusie swala la kungonoka. ila jaribu kumkiss, akikubali we jaribu ku iprolong hiyo kiss, then kuwa na pause fulani kidogo na tena onyesha kama ile kiss imeku-touch. Jaribu another attempt baadae atakuwa speechless na kitakachofuata wewe au yeye hakuna atayejua mmeanzaje. Ni kawaida kwa mwanamke kusema hivyo lakini si kwamba ndo anamaanisha. usiwe mgumu kuelewa. wanawake wanapenda follow up to tedt whether what you say is what you mean. Usimuache. They are happy when you initiate and push the move.