HUYU MSANII KAPOTEZA MASHABIKI WENGI.

Antony Abel

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
264
Reaction score
142
Ni msaga sumu huyo kapoteza mashabiki weng na mimi nikiwemo baada ya kutoa wimbo wa mwanaume mashine, ikiwa weng hatuna mashine.
 
Mijadala ya kujadili MAUMBILE YA MWANAUME imepamba moto kwa kuchochewa na wauza dawa za kuongeza maumbile.

Kama BABAAKO MZAZI aliweza kumpa mimba mamaako na hicho unachokijadili leo mitandaoni nawe ukazaliwa na bado unahoji uanaume wa babaako sababu ya ashiki...kinamama mtukome eeeh!
 
Wanaume tunapoteza uwanaume wetu kwanini tusijadili kuhusu mabwawa?

Naumia sana kuona story imekua kibamia kibamia kibamia wakati binti anaanza ngono akiwa na miaka 14 mpaka afikishe 20 mazee wangapi wamepita? Kwanini atakaepatana nae kwa umri wa 26 asionekane na kibamia?


NATANGAZA VITA NA MABWAWA
 
Andaa nguo chafu wanakuja na mipovu ya kutosha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilipoutazama ule wimbo nikadhani kwamba "mwanaume mashine" ni mwanaume kufanya kazi! Kumbe nilielewa tofauti!
 
Hata Uzugeeee VIP Lemutuz kawaahibisha Ze kibamia Hakifichiki.Me kipilipili kichaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…