mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 Apr 9, 2020 #1 Jamaa mmja asili yake ni bahiri Na ilipokuja suala la corona kila mtu aweke ndoo ya kunawia na sabuni ya maji ya chupa, jamaa yangu kwake Kaweka sabuni ya mche tena ya magadi Shikamooo mbagaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa mmja asili yake ni bahiri Na ilipokuja suala la corona kila mtu aweke ndoo ya kunawia na sabuni ya maji ya chupa, jamaa yangu kwake Kaweka sabuni ya mche tena ya magadi Shikamooo mbagaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Super Villain JF-Expert Member Joined Jan 2, 2019 Posts 9,395 Reaction score 21,060 Apr 9, 2020 #2 ππππ Dah hiyo sabuni yenye usikute anatengeneza mwenye achana kabisa na hawa watu mzee π₯
ππππ Dah hiyo sabuni yenye usikute anatengeneza mwenye achana kabisa na hawa watu mzee π₯
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 Apr 9, 2020 Thread starter #3 Super Villain said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah hiyo sabuni yenye usikute anatengeneza mwenye achana kabisa na hawa watu mzee [emoji91] Click to expand... Huyu jamaa bahiri sanaa Kuanzia matumizi, nyumbani kwake Ndani TV kachomeleaa grill ukutani na kufuli juu Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Super Villain said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah hiyo sabuni yenye usikute anatengeneza mwenye achana kabisa na hawa watu mzee [emoji91] Click to expand... Huyu jamaa bahiri sanaa Kuanzia matumizi, nyumbani kwake Ndani TV kachomeleaa grill ukutani na kufuli juu Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Super Villain JF-Expert Member Joined Jan 2, 2019 Posts 9,395 Reaction score 21,060 Apr 9, 2020 #4 mrangi said: Huyu jamaa bahiri sanaa Kuanzia matumizi, nyumbani kwake Ndani TV kachomeleaa grill ukutani na kufuli juu Ova Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... πππ Katumwa na kijiji huyo kufuata hela mjini.
mrangi said: Huyu jamaa bahiri sanaa Kuanzia matumizi, nyumbani kwake Ndani TV kachomeleaa grill ukutani na kufuli juu Ova Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... πππ Katumwa na kijiji huyo kufuata hela mjini.
wilmar JF-Expert Member Joined Nov 27, 2018 Posts 426 Reaction score 1,139 Apr 9, 2020 #5 Aisee atali sana
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,889 Reaction score 133,897 Apr 9, 2020 #6 Bila shaka sio mbaga mimi
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 Apr 10, 2020 Thread starter #7 mbaga jr said: Bila shaka sio mbaga mimi Click to expand... Mabaga mwananguuu sanaaa lkn kwa ubahiri utani samehee kwanza kwenye vilinge vyetu tu kuzungusha round mtihani[emoji23][emoji23][emoji23] Ova Sent using Jamii Forums mobile app
mbaga jr said: Bila shaka sio mbaga mimi Click to expand... Mabaga mwananguuu sanaaa lkn kwa ubahiri utani samehee kwanza kwenye vilinge vyetu tu kuzungusha round mtihani[emoji23][emoji23][emoji23] Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Drizzle JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 4,857 Reaction score 14,748 Apr 10, 2020 #8 Super Villain said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah hiyo sabuni yenye usikute anatengeneza mwenye achana kabisa na hawa watu mzee [emoji91] Click to expand... Kama unavyotengeneza hand sanitizer Sent using Jamii Forums mobile app
Super Villain said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah hiyo sabuni yenye usikute anatengeneza mwenye achana kabisa na hawa watu mzee [emoji91] Click to expand... Kama unavyotengeneza hand sanitizer Sent using Jamii Forums mobile app
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,754 Reaction score 5,184 Apr 10, 2020 #9 Kuna video moja ipo jamaa anazuga ananawa mara kafungua begi kasepa na sanitizer. πππ