Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,656 Reaction score 38,342 Jul 25, 2019 #1 Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi!
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,339 Jul 25, 2019 #2 kila la kheri mkuu, Mungu akatimize hitaji la moyo wako...
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Jul 25, 2019 #3 Magari ya kiume!!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,201 Reaction score 185,492 Jul 25, 2019 #4 Inapendeza... Cc: mahondaw
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 13,361 Reaction score 42,968 Jul 25, 2019 #5 Mkataba huoo!!!
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,805 Jul 25, 2019 #6 By the time unapata hela, hutokuwa na hamu nalo tena. Magari mengine makali yatakuwa yashatoka!
Noel Ngiama Makanda JF-Expert Member Joined Oct 14, 2018 Posts 1,782 Reaction score 3,107 Jul 26, 2019 #7 Mimi hii ndinga naona mpaka nikistaafu
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,271 Jul 26, 2019 #8 Daah mkuu hii kitu nami yanitesa Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand...
Daah mkuu hii kitu nami yanitesa Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand...
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,488 Jul 26, 2019 #9 Noel Ngiama Makanda said: Mimi hii ndinga naona mpaka nikistaafu Click to expand... Mafao ndio unanunulia ndinga? warithi wako watafaudu sana
Noel Ngiama Makanda said: Mimi hii ndinga naona mpaka nikistaafu Click to expand... Mafao ndio unanunulia ndinga? warithi wako watafaudu sana
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,752 Jul 26, 2019 #10 Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand... Huo Mnyama ndio alihongwa "BASHITE" kwenye lile sakata alilowabambikia MADAWA YA KULEVYA wafanyabiashara kuwa blackmail kwa "MAKONDA STYLE". Je, NAS Haulage kamhonga gari Paul Makonda ili asisumbuliwe kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya? Pamoja na Mange kimambi kua na mapungufu still huyu mama hua anaongea ukweli ambao Watanzania awaupendi ukiangalia Mange chizi ana source ya habari anapozitoa www.jamiiforums.com
Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand... Huo Mnyama ndio alihongwa "BASHITE" kwenye lile sakata alilowabambikia MADAWA YA KULEVYA wafanyabiashara kuwa blackmail kwa "MAKONDA STYLE". Je, NAS Haulage kamhonga gari Paul Makonda ili asisumbuliwe kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya? Pamoja na Mange kimambi kua na mapungufu still huyu mama hua anaongea ukweli ambao Watanzania awaupendi ukiangalia Mange chizi ana source ya habari anapozitoa www.jamiiforums.com
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Jul 26, 2019 #11 Weka na makadirio ya TRA unakuwa ni bei gani hadi Nonde, Itiji One, Machinjioni kwa Mwasimba, Chiba, Santaiga na Mswanga? Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand...
Weka na makadirio ya TRA unakuwa ni bei gani hadi Nonde, Itiji One, Machinjioni kwa Mwasimba, Chiba, Santaiga na Mswanga? Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand...
Noel Ngiama Makanda JF-Expert Member Joined Oct 14, 2018 Posts 1,782 Reaction score 3,107 Jul 26, 2019 #12 funzadume said: Mafao ndio unanunulia ndinga? warithi wako watafaudu sana Click to expand... Hahahaha, I was kidding. Hiyo kitu nipe miaka saba tu, ntakuwa na uwezo wa kununua gari ya bei hiyo.
funzadume said: Mafao ndio unanunulia ndinga? warithi wako watafaudu sana Click to expand... Hahahaha, I was kidding. Hiyo kitu nipe miaka saba tu, ntakuwa na uwezo wa kununua gari ya bei hiyo.
Ulimbo JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 3,766 Reaction score 4,046 Jul 26, 2019 #13 Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand... Kwa nini unatamani kitu kitakacho kutoa roho?
Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand... Kwa nini unatamani kitu kitakacho kutoa roho?
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,362 Jul 26, 2019 #14 Urusi yapo ya aina ipi wakuu (yaliyotengenezwa na mrusi) Au Iran.
jajuu JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 371 Reaction score 585 Jul 29, 2019 #15 Amarok vw.... tukiingia uchumi wa kati nadhani ndo ntaangalia bei yake
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,117 Jul 29, 2019 #16 Sasa hio machine ya maana afu ina Automatic transmission,ya nini sasa mkuu?
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,656 Reaction score 38,342 Jul 31, 2019 Thread starter #17 mng'ato said: Sasa hio machine ya maana afu ina Automatic transmission,ya nini sasa mkuu? Click to expand... Manual ndio nzuri zaidi kumbe?
mng'ato said: Sasa hio machine ya maana afu ina Automatic transmission,ya nini sasa mkuu? Click to expand... Manual ndio nzuri zaidi kumbe?
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,549 Jul 31, 2019 #18 Crimea said: Manual ndio nzuri zaidi kumbe? Click to expand... Yes
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,697 Jul 31, 2019 #19 Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand... Jifunze
Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand... Jifunze
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 Jul 31, 2019 #20 Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand... 2020 hiyo 50 utaipata tu kwenye kampen za jiwe maana atawahonga mapesa mengi ili ashinde.
Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand... 2020 hiyo 50 utaipata tu kwenye kampen za jiwe maana atawahonga mapesa mengi ili ashinde.