cinderelalove Senior Member Joined Feb 23, 2013 Posts 189 Reaction score 39 Mar 11, 2013 #21 Mwanamalundi said: Huyu mwanamke anatakiwa kupelekwa mirembe kwenye wodi ya vichaa. Kichwani hakuna kitu hapo Sifuri kabisa. Click to expand... hahahahahhaahahhaha
Mwanamalundi said: Huyu mwanamke anatakiwa kupelekwa mirembe kwenye wodi ya vichaa. Kichwani hakuna kitu hapo Sifuri kabisa. Click to expand... hahahahahhaahahhaha
M MLERAI JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 667 Reaction score 275 Mar 11, 2013 #22 Je huyo dogo atakuwa napigilia msumari au atakuwa anazamamishwa chumvini ili anyonye kama ziwa la mama yake
Je huyo dogo atakuwa napigilia msumari au atakuwa anazamamishwa chumvini ili anyonye kama ziwa la mama yake
M Mtokambalisana Member Joined Nov 1, 2010 Posts 21 Reaction score 0 Mar 11, 2013 #23 Hii ni ndoa ya kimila huko sauzi. Ilifanyika kuplease miungu tu. Hakutakua ma mahusiano yoyote ya kindoa baina Yao
Hii ni ndoa ya kimila huko sauzi. Ilifanyika kuplease miungu tu. Hakutakua ma mahusiano yoyote ya kindoa baina Yao
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,957 Mar 11, 2013 #24 Jamani tambiko hilo la mizimu ndo linataka!! Kuna source ya habari sema link sikumbuki wanaelezea hivyo!!! Watakuwa hawaishi pamoja na hawajasaini cheti cha ndoa!! Baada ya ibada hii kila mtu anarudi kwao na kijana atakuwa aoe mke wa umri wake.
Jamani tambiko hilo la mizimu ndo linataka!! Kuna source ya habari sema link sikumbuki wanaelezea hivyo!!! Watakuwa hawaishi pamoja na hawajasaini cheti cha ndoa!! Baada ya ibada hii kila mtu anarudi kwao na kijana atakuwa aoe mke wa umri wake.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,898 Mar 12, 2013 #25 soseji mpya dhidi ya kitumbua chenye ndita
ngoshombasa JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 435 Reaction score 235 Mar 12, 2013 #26 Huenda kakijana kamefubaa afu kana mpododo wa haja!...full mkuno!