Huyu mkaka jamani lol

Heheheh....make up stories hizi jamani

Mkuu hii sio make up, kwani sie wadada haturuhisi kutamani? Au ninyi ndio mna haki ya kutamani? Hivi kweli nipoteze muda nisilale kisa nitengeneze story? Come on!
 
Mim ushauri wangu achana na nae kwasababu kwa hiyo tabia yke ya kuanika wasichana hovyo sio nzuri kabisa
 
Kutofichika si tatizo...lakini jirani nauliza kwa rafiki wa kawaida kaiona vipi?

Lets be realistic...

As i wrote ni rafiki yangu sana, we use to hang out mara kadhaa. Hupendelea kuvaa body tight. Unataka kunambia hapo hazitoonekana?
 
Mkuu hii sio make up, kwani sie wadada haturuhisi kutamani? Au ninyi ndio mna haki ya kutamani? Hivi kweli nipoteze muda nisilale kisa nitengeneze story? Come on!

Mna haki za kutamani kama wanaume, as long as kutamani is unconditional...

Unajua abs sio kama wowowo au matiti kwamba mtu akivaa hata nguo utayaona,...

Ni ngumu kuziona kama mwanaume hajavua nguo ya juu, trust me hata akivaa tight au vest ni ngumu kuziona...
 
Partner wako wakati mwingine huwa ni mchokozi tu wala usikonde partner.

Hivi Partner unajua like zingine ni za uchokozi? Umelike nini sasa hapo.ama ushanistukia?
 
As i wrote ni rafiki yangu sana, we use to hang out mara kadhaa. Hupendelea kuvaa body tight. Unataka kunambia hapo hazitoonekana?

Anyway...if you insist ngoja tu-abide na ukiandikacho
But i'll be the last person to believe hii kitu yako mkuu, unless hiyo part uliweka kunogesha tu....
 
dada umbwa anaruma ana unajua anaruma we wataka weka kidole ili..useme liumbwa linu.lalumaa ss...akili kumkichwaa usije ukajuta ukalia kwa ujinga wako..six pat izo akitoka nje anaonwa na wangapi......tafakat chukus atua yaan kwanza uyo hana ata feels kwako mpk anakuambia leo.amina..kesho jane ww bado wataka au unataka niamn mapenz.upof na wanawake mwalimu wao.kipof
 
Anyway...if you insist ngoja tu-abide na ukiandikacho
But i'll be the last to believe hii kitu yako mkuu, unless hiyo part uliweka kunogesha tu....

Ok, though sikutaka kufunguka zaidi ila naona unanilazimisha. Lemme put it like this. One day we went to swim ndiyo nikaziona. Bhaaaaaasssss!
 
Got u very well
 
Oyaaa. Kalaleeeee ukiamka uandike vizuri
 
Ok, though sikutaka kufunguka zaidi ila naona unanilazimisha. Lemme put it like this. One day we went to swim ndiyo nikaziona. Bhaaaaaasssss!

Okay...

Hakuna anayekulazimisha mkuu, ila kuna watu ambao tupo makini na kila neno mtu aandikalo...

Mimi nilitaka kujua ni mazingira gani yaliyokufanya uone hizo abs zake....lakini ukaanza kuchechetuka weee.

Sasa ona unavyomix madesa, mara uliziona akiwa kavaa tight, mara mlienda kuswim...

Hasta pronto ! Señorita
 
Tabia hizo hua hatuachi kwa sababu tunawavutia wengi kama ilivyo kwako.. tena wenzio wanapiga hatua zaidi wanatueleza how they feel about us..onja ukishindwa utaghairi jambo ambalo hua gumu pia..tafakari .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…