^^
Unataka nani ahalalishe uzinifu wako ili akahesabiwe ukosefu sawa na wewe?
Chagua ubaya kwa majuto yako mwenyewe kwani ninajua unafahamu kuwa unaloenda kutenda si jema.
^^
Ukipata ngoma usisahau kurudi kutupa habari.....
duuu kuna ushauri nilitaka kukupa bt baada ya kumalizia topic kumbe kesho ndio unapga gemu bas ckilza huu
wewe nenda kapige game tena simamia shoo coz inaonesha mbali na huyo dada kukushawishi hata wew ulikuwa ukimuwinda na ucjue utampataje
sasa kazi ni kwako kama utatumia dawa ya penz au utaogelea bila mwamvul kaz ni kwako nategemea uje na majibu ya jinsi gan ulivyoenjoy game na mama mjamzito
Over!!
kufanya mapenzi sio tendo jema?
Mkuu yatakutokea halafu utashangaa
^^
Tatizo ni kuwa hujajitambua ama unafikiri kila mmoja JF ana kiwango cha kufikiri sawa na wewe!
Hebu niambie sasa,
1. HUYO NI MKE WA MTU AU LA!
Je kuachana kwao kunakupa kibali cha kulala nae hapo kesho?
2. UNAJUA MADHARA YA SPERMS KATIKA MIMBA ISIYO YAKO?
Na je mtenda hatendwi?
3. ULIMTENDEA WEMA WA SIMU NDIYO
Je hakuna njia nyingne ya kulipwa hisani tofauti na wewe kufunua uchi wake?
Mwisho, umepanga kukutana nae kingono kesho tena kwa hiari yako, halafu unataka kuhalalisha uzinzi kwa neno tu la 'hayajakukuta'
Usinitakie mabaya ikiwa Mungu kanipa uwezo wa kushinda majaribu yaliyo ndani ya uwezo wangu
^^
mkuu ngoja nikufafanulie:
huyu dada kutokana na jinsi alivyokua akitumia simu yangu kuwasiliana na jamaa yake niligundua jamaa hana tena muda na huyu dada.,
dada aliumia sana tena sana kwa kuwa na ujauzito wa miezi mitatu na kuacha ila MIMI NIMEKUWA NIKIMFARIJI KWA MANENO mazuri ya kumpa moyo hapo nikaona anakolea tena kimapenzi kwamba na moyo mzuri na angefurahi kukaa nami
huoni kama nina ubinadamu moyoni!
^^
Usinilazimu kutoa uzoefu wangu juu ya wajawazito na mapenzi ya wanawake wenye watoto wengi kwa mabwana tofauti bila sababu!
ENDELEA MBELE NA UBINADAMU WAKO raha njema na uwe na utamu usioelezeka upaao kupita vilele vyote vya fahamu za mwanadamu.
^^
My dear friend u re joking wit FIRE N NOW the way i can see u want to throw stones to a POLICE STATION. We don t knw where n wen u started seducing her. N the way things r going,u r the cause of her marriage break up.Remember she s somebody's wife n not ur wife. Hw will u feel if somebody sleeps with ur expectant wife? Don t tae advantage n of somebody's problem,mayb she want to see u wat kind of a man r u. My free advise s my boy,try to call her hubby n find where there s a problem n solve it once n for all. If the problem s big LET HER GO TO HER PPLE don't stay wt her ok? Otherwise u'll blame urxelf.
jaman kuna dada nimezoeana naye hapa ana undugu na mpangaji wangu
huyu dada ni mjamzito amekuja hapa baada ya kutoswa na mumewe
mozea yangu naye yalikua ktk simu tu kwani alikua anatumia simu yangu kuwasiliana na mumewe!
Sasa ameondoka hapa home ila amekua akiwasiliana nami kwa simu na akiniomba ni mfariji kimapenzi baada ya kutoswa na jamaa yake.
Mapenzi anayotaka ni yale yapeku peku hapo ndio nimebaki dielemma
huyu dada ana watoto watatu wa jamaa mwingine ila naona kama anataka kuishi nami!
Kesho ndio siku ya gemu please naombeni ushauri!
jaman kuna dada nimezoeana naye hapa ana undugu na mpangaji wangu
huyu dada ni mjamzito amekuja hapa baada ya kutoswa na mumewe
mozea yangu naye yalikua ktk simu tu kwani alikua anatumia simu yangu kuwasiliana na mumewe!
Sasa ameondoka hapa home ila amekua akiwasiliana nami kwa simu na akiniomba ni mfariji kimapenzi baada ya kutoswa na jamaa yake.
Mapenzi anayotaka ni yale yapeku peku hapo ndio nimebaki dielemma
huyu dada ana watoto watatu wa jamaa mwingine ila naona kama anataka kuishi nami!
Kesho ndio siku ya gemu please naombeni ushauri!