scatter
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,671
- 940
Jamani kuna dada nimezoeana naye hapa ana undugu na mpangaji wangu huyu dada ni mjamzito amekuja hapa baada ya kutoswa na mumewe
mozea yangu naye yalikua ktk simu tu kwani alikua anatumia simu yangu kuwasiliana na mumewe!
Sasa ameondoka hapa home ila amekua akiwasiliana nami kwa simu na akiniomba ni mfariji kimapenzi baada ya kutoswa na jamaa yake.
Mapenzi anayotaka ni yale yapeku peku hapo ndio nimebaki dielemma huyu dada ana watoto watatu wa jamaa mwingine ila naona kama anataka kuishi nami! Kesho ndio siku ya gemu please naombeni ushauri!