Huyu mhubiri anayejitangaza na akaunti za benki, ni mkweli?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
16,211
26,213
image.jpg

Huyu mhubiri na mwangalia sasa hivi akijihubiri na sasa anasema amewapita wengine kwa mbali ,ni mkweli?
Namwona kwenye luninga lakini screen imejaa akaunti zake za benki na simu za kuingizia pesa ya mtandao.

Wakuu ni mkweli huyu?
 
Fursa iyo mkuu,, mi mwenyewe nna eneo langu kiromo,, nimeingia ubia na Jamaa mmoja mchungaji msanii ,ajenge kanisa la kishkaji tule Hela za makondoo,,sasaivi biashara iyo inalipa mno
 
kama unataka kusikia maubili yake kupitia TV lazima mumchangie ili kipindi kirushwe.kumbuka hana pesa za kununua kipindi.UKAWA tunataka mfano kama huu kuchangia TBC ili kuonyesha BUNGE.hajakosea wewe tu sijui umekula maharagwe ya wapi,

swissme
 
Unawezekana ukawa haumo, MTU ambaye hayumo n hayumo tuu kama wewe hutaki kutoa sadaka achaaa usitake kushawishi watu wengine xjui tunawatoa wapii??
 
mi najiuliza hivi hizo hela wanazipeleka wapi
Lengo kubwa la wahubiri kama huyo ni hizo fedha na si kueneza Neno, na ndio maana kipaumbele kinawekwa kwenye luninga ikibainisha akaunti na jinsi ya kukusanya pesa kwa Mpesa.
Hizo fedha ni kuni zitakazo wateketeza.
 
Kenya wamepitisha sheria ndogo ya kucontrol makato ya kodi kwa kipato wanachokipata watumishibwa mungu. Maana imekuwa ni fashion trendy sasa kila mtu kukodi ukumbi na vyombo vya muziki kupiga injili na kujinasibu kama ni mpakwa mafuta wa bwana ama nabii refer to dsm kuna manabii karibu 200. Wengine ni wahamiaji haramu wapo toka rwanda anakuja anazamia kahama huko miaka kadhaa anajifunza kisukuma anakuja mjini anapanga eneo na kutangaza neno akiwa na lengo la kutajirika.
Mfano mchngaji mpaka ana marange rover halafu halipi kodi hii ni dhuluma sana. Sijawahi kusikia nabii fulani anasomesha watoto yatima mpaka university kwa pesa yake mfukoni anayochangisha waumini. Wengi wanakuja na michango ya kugharamia ujenzi wa kanisa,vyombo vya muziki,chekechea,shule za sekondari huwezi wasikia muumini anaumwa tumchangie hata siku moja au kakosa kodi ya nyumba tumchangie. Imefika wakati hawa watu wapewe efd machines kila mchango unaotolewa basi ukatwe kodi ni wachumia tumbo
 
Tra research and development hebu do sumn now hawa wajasiriamali wakatwe kodi, watu wanapanda miguuni mwao pesa nyingi,wanjiambatanisha na.madhabahu kwa kuchanga pesa nyingi, hawa watu moja ya features zao ni kujenga kanisa kama godown siku biashara ikiisha asiumie sana na hasara za kuhama
 
biashara kwa mfano watu milioni moja tu mkimchangia elfu tano tano tu hapo ana mamilioni
 
Kenya wamepitisha sheria ndogo ya kucontrol makato ya kodi kwa kipato wanachokipata watumishibwa mungu. Maana imekuwa ni fashion trendy sasa kila mtu kukodi ukumbi na vyombo vya muziki kupiga injili na kujinasibu kama ni mpakwa mafuta wa bwana ama nabii refer to dsm kuna manabii karibu 200. Wengine ni wahamiaji haramu wapo toka rwanda anakuja anazamia kahama huko miaka kadhaa anajifunza kisukuma anakuja mjini anapanga eneo na kutangaza neno akiwa na lengo la kutajirika.
Mfano mchngaji mpaka ana marange rover halafu halipi kodi hii ni dhuluma sana. Sijawahi kusikia nabii fulani anasomesha watoto yatima mpaka university kwa pesa yake mfukoni anayochangisha waumini. Wengi wanakuja na michango ya kugharamia ujenzi wa kanisa,vyombo vya muziki,chekechea,shule za sekondari huwezi wasikia muumini anaumwa tumchangie hata siku moja au kakosa kodi ya nyumba tumchangie. Imefika wakati hawa watu wapewe efd machines kila mchango unaotolewa basi ukatwe kodi ni wachumia tumbo
Kweli kabisa, hawa wahubiri matapeli imefika muda wadhibitiwe.
Wanakusanya pesa kwa ulaghai tu.
 
Back
Top Bottom