Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
Ni kawaida yetu sisi wahehe kuwaita nyie Wagoni! Sisi kama wahehe hatujawahi kuwaamini kabisa hawa watani zetu kwenye masuala ya mapenzi. Yaani mngoni, mkabidhi pesa zote unazoweza, asilimia za kuzifikisha salama ni zaidi ya 90. Lakini ukikosea tu ukamwachia mke hata ndani ya saa moja, uwezekano wa kukuta jamaa hajamtokea ni chini ya asilimia moja, bila kujali mke wako ni mzuri or not. Jamaa wanapenda wake za watu hawa usiseme. Ndiyo maana sisi huwa tunarahisisha badala ya kuwaita wangoni, tunawaita wagoni, hahahaa! Ila makabila mengine msituige wahehe, maana sisi na wangoni tunajuana kwa vilemba.Mngoni au mgoni hebu tanabaisha maana naona sasa unatuchafua WANGONI
mngoni bro !simaanishi wote ila huyu kazidiMngoni au mgoni hebu tanabaisha maana naona sasa unatuchafua WANGONI
Na huyo mwanamke unayemkabidhi kwa huyo mngoni ni wa kabila gani...??? Nanyie wahehe muche kujiuwa............... YAANI MTU KAKUNYIMA CHENJI UNAJIUWANi kawaida yetu sisi wahehe kuwaita nyie Wagoni! Sisi kama wahehe hatujawahi kuwaamini kabisa hawa watani zetu kwenye masuala ya mapenzi. Yaani mngoni, mkabidhi pesa zote unazoweza, asilimia za kuzifikisha salama ni zaidi ya 90. Lakini ukikosea tu ukamwachia mke hata ndani ya saa moja, uwezekano wa kukuta jamaa hajamtokea ni chini ya asilimia moja, bila kujali mke wako ni mzuri or not. Jamaa wanapenda wake za watu hawa usiseme. Ndiyo maana sisi huwa tunarahisisha badala ya kuwaita wangoni, tunawaita wagoni, hahahaa! Ila makabila mengine msituige wahehe, maana sisi na wangoni tunajuana kwa vilemba.
hahaa,.dude, unaniua kwa kichekoNa huyo mwanamke unayemkabidhi kwa huyo mngoni ni wa kabila gani...??? Nanyie wahehe muche kujiuwa............... YAANI MTU KAKUNYIMA CHENJI UNAJIUWA
ok kumbe!!! nikue siri ya kumdhibiti huyo mgoni, akitaka kutwa mara tatu we mpe tu usimmnyime, we're very energetic on that sector!mngoni bro !simaanishi wote ila huyu kazidi
Bela kamwene!!!! unoge yu veve! hahaaaa mtani nikiwaona huwa nafurahi saaana! maana najua dawa yenu ndogo saaana huwa naogopa hata kuwatania sababu hamkawii kujining'iniza kwenye miti ya mikusu!!! sisi wangoni bana tunawapenda sana watani zetu hasa kwa kitoweo cha kale kamfugo hahaaaaaNi kawaida yetu sisi wahehe kuwaita nyie Wagoni! Sisi kama wahehe hatujawahi kuwaamini kabisa hawa watani zetu kwenye masuala ya mapenzi. Yaani mngoni, mkabidhi pesa zote unazoweza, asilimia za kuzifikisha salama ni zaidi ya 90. Lakini ukikosea tu ukamwachia mke hata ndani ya saa moja, uwezekano wa kukuta jamaa hajamtokea ni chini ya asilimia moja, bila kujali mke wako ni mzuri or not. Jamaa wanapenda wake za watu hawa usiseme. Ndiyo maana sisi huwa tunarahisisha badala ya kuwaita wangoni, tunawaita wagoni, hahahaa! Ila makabila mengine msituige wahehe, maana sisi na wangoni tunajuana kwa vilemba.
Chimunguru, umenivunja mbavu mkuu. Sisi huwa hatupendi matatizo, badala ya kukaa kulumbana na mtu au kumuua yeye, unajiua wewe ili kuepusha malumbano.Bela kamwene!!!! unoge yu veve! hahaaaa mtani nikiwaona huwa nafurahi saaana! maana najua dawa yenu ndogo saaana huwa naogopa hata kuwatania sababu hamkawii kujining'iniza kwenye miti ya mikusu!!! sisi wangoni bana tunawapenda sana watani zetu hasa kwa kitoweo cha kale kamfugo hahaaaaa
Chimunguru, umenivunja mbavu mkuu. Sisi huwa hatupendi matatizo, badala ya kukaa kulumbana na mtu au kumuua yeye, unajiua wewe ili kuepusha malumbano.