Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,190
- 5,046
Wakuu 9D HIYOOO, TANGANYIKA TULIYOPEWA NA MUNGU WA MBINGUNI HIYOOO.
Kuna mdada alikuwa anapta eneo ninalofanyia biashara zangu anauza bisi kwny ndoo, nlimwambia nina vifaa vyote vya mradi wa lishe kama uji, chakula nk naweza kukupa kwa makubaliano unanilipa kwa wiki 7000 akafurahi sn akasema nimpe vile anaweza uza uji wa lishe nlimpa na mtaji kbs.
Jamaa zng wakazusha natembea nae kuna wengne wakamfata na kuanza kuniponda kwmb wao wanaweza kumpa pesa na vtu bora kuliko nlivyompa lakn hakukubali.
Kuna mwamba amemfata na kumwambia yuko tyr akamtambulishe kwao na kumpangshia pa kuishi na kumpa mtaji wa biashara anayoitaka lakn demu kachomoa zaid raia wananisema mimi ndo chanzo wkt mi stembei naye.
Ajabu mi nikpga cm au kutuma sms haraka amejbu na anapenda niwe naenda kwake kumtembelea na nikikutana nae anataka tuongee tu hata kama ni sku nzma full kufurahi mkumbuke mi sjampa ktu kikubwa wapo raia wana hela kuliko mm kawachomolea.
JE WAKUU HUYU MTU ANANIELEWA MIMI KWA LIPI HASA MAANA KAMA NI PESA MI SIMPI?