Huyu mdada Angela Simmons ni Mtanzania anayeishi Marekani?

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,646
Picha zake zipo kwenye mitandao mingi sana hadi blog na website za Ulaya picha zake zipo, nataka kujua huyu ni nani hasa









 
Huyo ni mtoto WA Rapper WA zamani WA kundi la run DMC Joseph Simmons. Hana chembe ya utanzania, mjomba ake anitwa Russell Simmons.
 
Wenzake n kina Jojo ,Russell, Vanessa na wengine na nadhan kipind flan ashakuwa demu wa jcole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…