Mwambie asiwe kiberiti ngoma yaani gold digger. Analiwa na watu wawili kweli?Iko hivi huyu ni binti miaka 23,anajikuta kwenye dimbwi la mawazo katika kufanya maamuzi
Amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mbaba(40 yrs) yaani mume wa mtu kwa zaidi ya miaka miwili na amemuahidi kumuoa na amejitambulisha mpaka kwa Wazazi wake hata alipokuwa chuo cha maendeleo huyo mbaba ndo alikuwa anamsimamia huduma za chuo na kila kitu na pia alishatambulishwa hadi kwa mke wake mbaba
Pia alishamnunulia kiwanja na ameanza kumjengea nyumba
Miezi ya hivi karibuni amejikuta kupendana na kijana miaka 29 ila kwa bahati mbaya ni jobless anasubiri kuajiriwa na serikali(ualimu) kwa sasa anajishughulisha na kilimo cha jembe la mkono na yeye amejitambulisha kwao anataka kupeleka posa
Yupo njia Panda afanye maamuzi yapi?
waambie moderator wabadilishe kichwa cha habari waandike "Mimi cutelove naombeni ushauri juu ya hili!"Iko hivi huyu ni binti miaka 23,anajikuta kwenye dimbwi la mawazo katika kufanya maamuzi
Amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mbaba(40 yrs) yaani mume wa mtu kwa zaidi ya miaka miwili na amemuahidi kumuoa na amejitambulisha mpaka kwa Wazazi wake hata alipokuwa chuo cha maendeleo huyo mbaba ndo alikuwa anamsimamia huduma za chuo na kila kitu na pia alishatambulishwa hadi kwa mke wake mbaba
Pia alishamnunulia kiwanja na ameanza kumjengea nyumba
Miezi ya hivi karibuni amejikuta kupendana na kijana miaka 29 ila kwa bahati mbaya ni jobless anasubiri kuajiriwa na serikali(ualimu) kwa sasa anajishughulisha na kilimo cha jembe la mkono na yeye amejitambulisha kwao anataka kupeleka posa
Yupo njia Panda afanye maamuzi yapi?
Yupo njiapanda halafu ndani ya dimbwi.yupo njia panda ya wapi mbona simuoni , mwambie ampe boda simu nimuelekeze ghetto