Huyu mdada ana maana gani?

Huyu mdada ana maana gani?

Safi sana , wanawake wengi sana wanadhalilishwa kwa sababu ya shida tu
ndo tabia zenu mnapendaga vya bure mnawazaga hela za wanaume, wapo wadada wana kaz zao na biashara zao bt kudanga ni nature tu....ni wp nimemdhalilisha uyo mdada? Ni wp nmesema ninamtaka ksa nmempa mtaji? Ni wp nimesema ninamdai na kashndwa kunilipa? Ni wp nimelalamikia hela nliyompa? Huyo anayesema niweke namba hapa anilipe hiyo pesa hana nina uhakika hana bahati nzuri raia wa jf hawajawai nisumbua humu kila mtu ni tajiri hana njaa kbs ila uhalisia hauko ivo kbs makapuku humu wamo wa kutosha tu hata uhakika wa milo 2 tu tizi humu wamo ila mbwembwe sasa ukutu huyu mwenzio yupo yupo tu hapo kwa aziz ally hata buku la vitafunio hana, humu makelele tu.
 
Punguza stress dogo , kabla ya kukujibu nani mwenzangu hapo?
 
Bwashee hata huyu mleta mada alitoa huo mkopo ili iwe njia rahisi kumpata huyo Dada,
Ila mpaka sasa anaelekea kukosa vyote,

Dunia ya leo na teknolojia hii tuliyo nayo unafungaje safari kila wiki kufuata buku 6 ?
Shida ni hapa unadhani anafunga safari. Jamaa alitaka utelezi kwa jirani ake. Afu 6 unailipia nauli kuifuata?
 
Attachments

  • IMG-20260105-WA0082.jpg
    IMG-20260105-WA0082.jpg
    65.7 KB · Views: 5
Dhumuni la Uzi wako ni upi kama dada pale juu kasema sema ni sh ngapi akurudishie unagoma?
Kijana ameanza kuukataa uzi wake baada ya comment za wadau,
Anasema hajalalamika wakati huu uzi ni wa malalamiko.

Msome tena hapa anavyolalamika,

Sasa shida inakuja nlipompa mtaji nlimwambia awe ananipa 1000 kila sku maana ana uhakika wa kupata faida ya elfu 7 kila sku, na iyo buku huwa naifata kila baada ya sku 7 nafata elfu 6 maana jpl hafanyi kazi. Shida siku hz nikfata kahela kangu mara aweke mapaja wazi, mara ajshke K, nikmwambia twende nikumege anakataa yan vituko sku nyngn mara aniambie hela kaila kabaki na elf2 mi namwambia nmekuachia ikusaidie jtahid wk ijayo.
 
nilimpa 150,000 kama mtaji, vifaa vya biashara ya mgahawa viligharimu 120,000. Moja siwez weka namba yng hapa maana sjawai msumbua kumdai anaposema hela kaila, pili kwa usalama wng spo tyr kutoa namba hapa, tatu hiyo pesa kasaidie ndugu zako au familia yako achana na mambo ya watu ukzngatia sjasema ninamdai au kulalamikia fedha.
150 ndio ya kumfuata mtu kila week kweli!?
 
Kijana ameanza kuukataa uzi wake baada ya comment za wadau,
Anasema hajalalamika wakati huu uzi ni wa malalamiko.

Msome tena hapa anavyolalamika,

Sasa shida inakuja nlipompa mtaji nlimwambia awe ananipa 1000 kila sku maana ana uhakika wa kupata faida ya elfu 7 kila sku, na iyo buku huwa naifata kila baada ya sku 7 nafata elfu 6 maana jpl hafanyi kazi. Shida siku hz nikfata kahela kangu mara aweke mapaja wazi, mara ajshke K, nikmwambia twende nikumege anakataa yan vituko sku nyngn mara aniambie hela kaila kabaki na elf2 mi namwambia nmekuachia ikusaidie jtahid wk ijayo.
Kabisa , halafu anatokea mdau anamwambia aseme ni sh ngapi ?

Anataja ni 150 k halafu papo hapo analalamika jf wanajifanya matajiri na hataki kuweka namba , kwa sababu anajua huyo dada hana pesa !!!

Dogo kama kachanganyikiwa vile🤔
 
Bwashee unajua hata huyo Mwanamke anayelalamikiwa na mleta mada,alishamuona jamaa kua ni dhaifu ndio maana hakumpa mbunye,huo ulikua ni mtego,akaomba mkopo wa 150 Jamaa akatoa fasta alifikiri ndio ingekua ndoano ya kumpata huyo mwanamke,

Kama huyo Mwanamke angempa mbunye toka mwanzo,basi hata huo mkopo wa 150 asingempa,Huyo Mwanamke aliweka mtego wake toka mwanzo na ukafanikiwa,jamaa alikua anavutwa polepole bila kujijua.
 
Hili nimeliona , huyo bibie kamsoma jamaa vizuri sana, ndio maana jamaa akijitahidi kukaza bibie anamtegeshea mapaja na jamaa anajaa anaondoka bila kudai Wala kula mzigo

Mwisho wa siku analalamika humu na makasiriko kwa washauri.
 
Pesa yenyewe inaweza kuwa elfu 50000
ni nyingi kwangu hiyo elf 50 maana wapo watu wanalipwa elf 30 kwa mwezi na bdo wanadhurumiwa, kama kwako ni ndogo kwangu ni nyng sn kumbuka hata vidole havilingani. Asante
 
Kijana ameanza kuukataa uzi wake baada ya comment za wadau,
Anasema hajalalamika wakati huu uzi ni wa malalamiko.

Msome tena hapa anavyolalamika,

Sasa shida inakuja nlipompa mtaji nlimwambia awe ananipa 1000 kila sku maana ana uhakika wa kupata faida ya elfu 7 kila sku, na iyo buku huwa naifata kila baada ya sku 7 nafata elfu 6 maana jpl hafanyi kazi. Shida siku hz nikfata kahela kangu mara aweke mapaja wazi, mara ajshke K, nikmwambia twende nikumege anakataa yan vituko sku nyngn mara aniambie hela kaila kabaki na elf2 mi namwambia nmekuachia ikusaidie jtahid wk ijayo.
sawa asante..
 
Kabisa , halafu anatokea mdau anamwambia aseme ni sh ngapi ?

Anataja ni 150 k halafu papo hapo analalamika jf wanajifanya matajiri na hataki kuweka namba , kwa sababu anajua huyo dada hana pesa !!!

Dogo kama kachanganyikiwa vile
 
Bwashee unajua hata huyo Mwanamke anayelalamikiwa na mleta mada,alishamuona jamaa kua ni dhaifu ndio maana hakumpa mbunye,huo ulikua ni mtego,akaomba mkopo wa 150 Jamaa akatoa fasta alifikiri ndio ingekua ndoano ya kumpata huyo mwanamke,

Kama huyo Mwanamke angempa mbunye toka mwanzo,basi hata huo mkopo wa 150 asingempa,Huyo Mwanamke aliweka mtego wake toka mwanzo na ukafanikiwa,jamaa alikua anavutwa polepole bila kujijua.
sawa ni kheri pia..
 
Back
Top Bottom