Huyu mdada aliniomba tsh elf moja nikaishia kumkimbia

Huyu mdada aliniomba tsh elf moja nikaishia kumkimbia

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,425
Nlienda mahali flani kulikuwa na event, it was a social gathering, nkakutana na mdada mrembo, kwa muonekano alionekana mdogo mdogo, hata miaka 25 inaonekana hajafikisha, coz matiti yalikuwa hata hayajamtoka vizuri, nikamtongoza kakaelewa..sasa baada tu ya kumtongoza, akaniambia ana shida ya shilling elf moja, mmh sasa nkaona hiki ni kiranga, alivoniomba tu hela nikajua hapa sina demu, na sina ntakachofaidi, nkamwambia kaa hapo, nisubiri nikatafte chenji, dada wa watu alisugua benchi karibu lisaa, haha eti akinisubiria, huku mm namchora kwa mbalii, nikumuangalia anavonisubiri..Sikumrudia tena

Baada ya masaa mengi kupita, Saa ya kuondoka baada ya event kuisha, mara baap tulikutana, nkajaribu kumuongelesha kinafiki, kama ile kumchora, hakunijibu kitu, aliniangalia vibaya, mm sikujali, nikabaki namcheka kimoyo moyo..
 
  • Nikakatongoza
  • Kakaniomba shilingi 1000
Hayo maneno mawili yanaonyesha kiwango chenu cha utoto kipo level gani...
My take. Wafikirie wazazi na wadogo zako ambao muda sio mrefu watakua wanakutegemea..Kisha acha upuuzi invest in Hardworking for whatever you Do.
 
Na wewe Bwana? Alikuwa hana nauli! Alitaka kujihakikishia kwanza usalama wa kurudi kwao! Ungempa tu kama msamalia!
 
Hivi shule za Boyz zinafunguliwa lini?

Maana nilivosoma Uzi wa huyu dogo nikajua tu Ni Mwanafunzi kutoka uboyzn. Tabia Kama hizi nakumbuka nilikuwa nazo wakati nipo shule fulan hivi ya Boyz. Nilikuwa Naiona ya thaman Hadi tsh200.

Wazazi rudisheni Watoto wenu shule Haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe kama ubahili umepiltiliza je wenzako wanatoa laki 1 cashi ww si ungezimia ila sikulaumu

Unapenda kumiliki vitu vixuri bila kuvigharamia kabisa
Kwa dunia ya sasa hivi mdogo wangu huwezi ..endelea tu kutafuta vinuka mkojo

Sent using i phone x
 
Big time..jamaa ametuaibisha sana..

Naona karibia wote mlio-comment mmenitukana, ngoja niwaulize, kuna sababu gani ya kumpa tsh elf moja demu asiekupenda? Shida ilikuwa sio kumpa hela, shida ni kuwa nliona huyu demu hanipendi, na hajavutiwa na mm kimapenzi ndo maana kaniomba hela mapema, demu anaekupenda utamjua tu... Darmian SK2016 Mr. Tyang EvilSpirit kagebby
 
Yaani wewe kama ubahili umepiltiliza je wenzako wanatoa laki 1 cashi ww si ungezimia ila sikulaumu

Unapenda kumiliki vitu vixuri bila kuvigharamia kabisa
Kwa dunia ya sasa hivi mdogo wangu huwezi ..endelea tu kutafuta vinuka mkojo

Sent using i phone x

Hujanielewa, mm sio bahili wala sio mchoyo, shida ni kuwa nlivoona demu kaniomba hela mapema, nkahisi huyu hanipendi na hajavutiwa kingono na mm, ndo maana kaniomba hela mapema, ndo maana nikamyima QEEN ADEMU1
 
Nlienda mahali flani kulikuwa na event, it was a social gathering, nkakutana na mdada mrembo, kwa muonekano alionekana mdogo mdogo, hata miaka 25 inaonekana hajafikisha, coz matiti yalikuwa hata hayajamtoka vizuri, nikamtongoza kakaelewa..sasa baada tu ya kumtongoza, akaniambia ana shida ya shilling elf moja, mmh sasa nkaona hiki ni kiranga, alivoniomba tu hela nikajua hapa sina demu, na sina ntakachofaidi, nkamwambia kaa hapo, nisubiri nikatafte chenji, dada wa watu alisugua benchi karibu lisaa, haha eti akinisubiria, huku mm namchora kwa mbalii, nikumuangalia anavonisubiri..Sikumrudia tena

Baada ya masaa mengi kupita, Saa ya kuondoka baada ya event kuisha, mara baap tulikutana, nkajaribu kumuongelesha kinafiki, kama ile kumchora, hakunijibu kitu, aliniangalia vibaya, mm sikujali, nikabaki namcheka kimoyo moyo..
unakataa unauziwa uchi kwa buku 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tunasema ni "demu chipu". Bora nipigwe mzinga wa laki kuliko buku anayoweza kupewa na kila mtu.


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Back
Top Bottom