lemidius mbalwohi
Senior Member
- Jun 17, 2015
- 102
- 21
Yani we jamaa mwanamke mpaka anajifungua humuonagi tumbo na mabadiliko ya afya?we jamaa ni wa pekee asee..Pole na kz wanajamvi, Nina mchumba wangu nmekuwa nae ktk mahusiano kpnd cha miaka mitatu sasa, chakushangaza kajifungua mtoto juzjuz, na hakuwahi kunambia kma anaujauzito wangu. Na alipojifungua hajanambia mpaka xaxa, hata cm hapokei lkn nkihesabu cku nlizokutana nae ktk tendo letu, naona ndo zenyewe! Naombeni ushauri nifanyeje nngali bado nampenda?By
Kilowoko de don.
Alikua bize na papuchiWakati tumbo linakua ulikua hulioni?
Kama ingekuwa mimba yako ungeambiwa na siku ya uchungu ungeambiwa, kwa hiyo ujue wewe sio baba wa mtoto maana baba wa mtoto tayari ana taarifaNlikuwa naliona bt tulikuwa tunaonana baada ya miez kadhaa
Lkn kinachonifanya niwe na uhakika kuwa hyo mtoto ni wakwangu ni hzo cku nilizozihesabu! Wenda hyu mwanamke kamuuza mwanangu!