ukisema unampa 99% inamaana wewe unaweza ukawa mwalimu wake.
kwasababu kama ww hata hilo gali kulichora kwenye karatasi hauwezi achiliambali kulichonga hadi likawa hivyo.
inamaana ilitakiwa uumpe 100%.

Umenikumbusha mwalimu wangu wa Physics A-Level, ukijibu vizuri sana beyond his expectation anakupa bonus kati ya marks 1-5! Kukumotivate. Kwa heshima yako nampa bonus ya maksi moja hivyo nampa 100%