Hivi kuna mtu anaweza kujua Lowassa ni chama gani kisoka? Simba au Yanga? UKina tu ha habari na ichezo, basi huo si mwenzako Mbon haongereimichez ili tujue tupo ny pamoja?Jana nimekaa nikasikiliza hotuba ya Lowassa mwanzo mpaka mwisho. Sina uhakika lakini kwangu mimi sikuona ama kusikia kitu chochote kilichoustua moyo na kuona yes ana kitu huyu. Well maybe anaweza kuwa mtendaji kuliko msemaji but personally I am not impressed. Najiuliza tu, huyu mtu atarudishaje hizi pesa zote anazotumia huku.
nyotaaa mkuu ndo tatizo kama ww hukusikia kitu alicho ongea,tupo tulio sikia
kipi kipyanyotaaa mkuu ndo tatizo kama ww hukusikia kitu alicho ongea,tupo tulio sikia
Jana nimekaa nikasikiliza hotuba ya Lowassa mwanzo mpaka mwisho. Sina uhakika lakini kwangu mimi sikuona ama kusikia kitu chochote kilichoustua moyo na kuona yes ana kitu huyu. Well maybe anaweza kuwa mtendaji kuliko msemaji but personally I am not impressed. Najiuliza tu, huyu mtu atarudishaje hizi pesa zote anazotumia huku.
Chuki zimeziba ufahamu wako... Pole sana
Sasa kama katafuna hela nyingi hakulizika anataka kujipakulia. Tz tumelogwa na nani? Bado tunamhitaji El kwa aibu ya Richmond . wabunge walivyo mzodoa. Tz iteuliwe lasmi kama nchi ya wasahaulifu