Jamaa amekuwa na sura ya kinyonge sana, hana furaha. Kweli Gwajima na Mange si watu wazuri aisee.
Kweli ya Jana hiyo? Hakuwa na Askari?Hiyo jana mwanza kaombwa vyeti kawa mbogo
Swissme
Hivi Lissu ni mwansheria wa chama gani?Kwani mtoa habari ni msemaji wa chama gani?
Na wewe unaona hizo ni tabia za kiongozi kweli?
Uwezo wako wa kufikiri uko below ziro. Kwani kakuambia hilo azimio linaenda kama linatoka kwa Mbunge wa Singida au ni maamuzi ya Kamati ya utendaji ya TLS?Hivi Lissu ni mwansheria wa chama gani?
Ningemuona wa maana sana angeenda mahakaman kupigania tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, bunge live, hayo ndiyo yenye maslahi kwa taifa hili na ndio yatakayo wapeleka wapinzani Ikulu.
Sasa unapoteza muda kwenda kukimbizana na Makonda mahakamani, hii ina faida gani kwa mwananchi wa singida kule? Kumpeleka makonda mahakamani ndio kutamfanya mwananchi wa Singida kupata maji, umeme, barabara nk?
Acheni kutafuta sifa za kijinga bwana.
Hivi mkuu huyo jamaa aliyemzingua bashite ni kijana wa kabila gani? Anaonekana ni mtemi sana kwa bashite.Uwezo wako wa kufikiri uko below ziro. Kwani kakuambia hilo azimio linaenda kama linatoka kwa Mbunge wa Singida au ni maamuzi ya Kamati ya utendaji ya TLS?
Hujui kitu bora unyamaze