Kapime Malaria kwanzaMuda wa saa nne za Usiku anawika saa saba za Usiku anawika, anataka nitoke niende wapi usiku wote huo, labda anajua mi mturutumbi anakosea sana tena ni mwehu,
Kuku wenzake wa majirani wanawika kwa muda maalum utawasikia saa kumi, kumi na moja na kumi na mbili za alfajiri, ama anaumwa huyu kuku? Toka nijisemeshe hawezi fika pasaka nampa kisu cha utosi basi kuwika hakuishi humu ndani, ndio sina banda analala jikoni,
Nimemwekea maji ya dawa machoni ugonjwa uishe kama anaumwa daktari wa wanyama anasema nimekosea ningempa kwenye maji anywe, yani tabu sana na huyu kuku na yeye yupo mmoja tu huyu sijui ila nimeshajua cha kufanya? ๐
Nb; chizi sio lazima wawe hospital tu ata humu pia mnao,.
Mtengenezee banda uone kama atawika hovyo hovyo tena.Muda wa saa nne za Usiku anawika saa saba za Usiku anawika, anataka nitoke niende wapi usiku wote huo, labda anajua mi mturutumbi anakosea sana tena ni mwehu,
Kuku wenzake wa majirani wanawika kwa muda maalum utawasikia saa kumi, kumi na moja na kumi na mbili za alfajiri, ama anaumwa huyu kuku? Toka nijisemeshe hawezi fika pasaka nampa kisu cha utosi basi kuwika hakuishi humu ndani, ndio sina banda analala jikoni,
Nimemwekea maji ya dawa machoni ugonjwa uishe kama anaumwa daktari wa wanyama anasema nimekosea ningempa kwenye maji anywe, yani tabu sana na huyu kuku na yeye yupo mmoja tu huyu sijui ila nimeshajua cha kufanya?
Nb; chizi sio lazima wawe hospital tu ata humu pia mnao,.
Anaashiria mwana mpotevu kupatioana akiwa maiti. Buriani mwana mtukutu uliyegoma kumsikiliza mwalimu wa afyaMuda wa saa nne za Usiku anawika saa saba za Usiku anawika, anataka nitoke niende wapi usiku wote huo, labda anajua mi mturutumbi anakosea sana tena ni mwehu,
Kuku wenzake wa majirani wanawika kwa muda maalum utawasikia saa kumi, kumi na moja na kumi na mbili za alfajiri, ama anaumwa huyu kuku? Toka nijisemeshe hawezi fika pasaka nampa kisu cha utosi basi kuwika hakuishi humu ndani, ndio sina banda analala jikoni,
Nimemwekea maji ya dawa machoni ugonjwa uishe kama anaumwa daktari wa wanyama anasema nimekosea ningempa kwenye maji anywe, yani tabu sana na huyu kuku na yeye yupo mmoja tu huyu sijui ila nimeshajua cha kufanya? ๐
Nb; chizi sio lazima wawe hospital tu ata humu pia mnao,.
kwanini usimuuze tu huyo kuku mkuu ukapata hiyo pesa?Wana jf huu uzi mi nimeuanzisha ili ukae kae kidogo mods wasiufute, ili niombe nilichokuwa nataka kuomba kwenu, maana ukishaonekana tena wanafuta maana utakaa juu tena, na watafuta mi nashida na elfu kumi na tano tu ata elfu kumi inatosha pia, matumizi kwangu yamenishinda hela haitoshi nafanya kazi kiwanda cha kupakia,kupakua mizigo ya pamba napo sahivi mpaka watuite tupo tumekaa tu, pamba haipatikani msaada wadau๐๐ 0622730684
sawa mkuubro uzi nimeanzisha tu ni wa utani tu ili kuwazuga mods ili baadaye nipate lengo langu kama hivi ukae kidogo, maana hawachelewi ata sahivi wapo kwenye taiming