CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,480
Anaitwa hababuu team imerudi nyuma sana wanacheza kama slay queensKwani kocha saivi nani
Musa Mgosi imekuaje kwani?
umesikia kauli ya kocha?nilkuwepo uwanjani kabadili mfumo kabisaaaa siyo style ya mgosi,muda unatosha kupafomu mfumo wake? maana kuna mbungi next month la cecafa,anacheza counter attack wachezaji iliwashinda kabisaAmecheza na vijana ulitegemea nini?
umesikia kauli ya kocha?nilkuwepo uwanjani kabadili mfumo kabisaaaa siyo style ya mgosi,muda unatosha kupafomu mfumo wake? maana kuna mbungi next month la cecafa,anacheza counter attack wachezaji iliwashinda kabisa
Pumbavu sana huyo kocha wa simbaKama ni kweli Simba wamembadilisha kocha wa Simba Queen Mgosi wakati timu ina mashindano makubwa ndani ya mwezi mmoja ujao basi hilo wamefanya kosa la kiufundi. Na timu ikifanya vibaya walaumiwe viongozi waliofikia maamuzi hayo ya ovyo kabisa.
Lakini huyo Mgosi ana tuhuma huko youtube kutoka kwa mchezaji wa zamani wa Simba queen toka Kenya. Tafadhali Mgosi na hata viongozi wa Simba wanapaswa kuzijibu haraka vinginevyo wazazi watakuja kugomea watoto wao wa kike kucheza mpira wa miguu. Kama tuhuma anazotoa huyo mchezaji ni za uongo basi ashitakiwe haraka kwa kuiharibu "brand" kubwa ya Simba. Na iwapo tuhuma ni za kweli basi huyo mchezaji aombwe radhi na alipwe fidia pia atangazwe kuwa shujaa wa kuvunja ukimya kwani inawezekana wenzake wanaumia kimya kimya huko kambini.
Na link yenyewe ni hapa. Isikilizeni mwishoni kabisa ndio tuhuma dhidi ya udhalilishaji wa kocha na mambo ya kichawi juu ya Simba queen kutumia waganga wa kienyeji.
Ndugu tusimuhukumu kocha kwa sasa kwa sababu mpaka sasa tumesikia habari ya upande mmoja. Tusubiri upande wa kocha naye apewe nafasi ajibu hizi tuhuma kwani ni nzito sana na zinaathiri soka la wanawake kiasi naona itakuwa vigumu kwa baadhi ya wazazi kuwaruhusu mabinti zao kucheza huu mchezo ukizingatia kuwa sasa hivi huu mchezo umeanza kuchezwa ngazi ya chini kabisa katika shule za msingi.Pumbavu sana huyo kocha wa simba