Huyu Kanasa! Yaan Kibabu Lazima kimuoe

Huyu Kanasa! Yaan Kibabu Lazima kimuoe

fredito13

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
214
Reaction score
147
Kuna rafiki yangu (21yrs) ana-date na mtu mzima! Mzee amemwambia mwezi ujao anataka akatoe mahari kwa ajili ya kumuoa! Mzee anasema hawezi kumuacha binti coz 'keshawekeza' sanaaa na anampenda! Best alikua anachuna tu, lakin mzee kakomaa

Sasa best yangu anahangaika jinsi ya kujichomoa, ananiomba ushauri mimi! Kuna la kufanya hapo??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mla vya wenzie, na vyake huliwaaaa!
Asubiri tu kumlea babu yangu!
 
Kuna rafiki yangu (21yrs) ana-date na mtu mzima! Mzee amemwambia mwezi ujao anataka akatoe mahari kwa ajili ya kumuoa! Mzee anasema hawezi kumuacha binti coz 'keshawekeza' sanaaa na anampenda! Best alikua anachuna tu, lakin mzee kakomaa

Sasa best yangu anahangaika jinsi ya kujichomoa, ananiomba ushauri mimi! Kuna la kufanya hapo??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

mpenda vya bure ufa maskin achana nae hyo ndo elimu dunia acha dunia imtie makofi
 
Safi sana. Kwani alipokuwa naye alimuona sio mtu?
Kama ana guts amwambie "hamtaki" . Mmezidi utegemezi halafu mnajidai mnajua haki zenu!
 
Kuna rafiki yangu (21yrs) ana-date na mtu mzima! Mzee amemwambia mwezi ujao anataka akatoe mahari kwa ajili ya kumuoa! Mzee anasema hawezi kumuacha binti coz 'keshawekeza' sanaaa na anampenda! Best alikua anachuna tu, lakin mzee kakomaa

Sasa best yangu anahangaika jinsi ya kujichomoa, ananiomba ushauri mimi! Kuna la kufanya hapo??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Sasa picha iko wapi...!?
 
Kama nia yake ilikuwa kumchuna basi asepe, maana babu anataka kumbadilishia upepo.
Mwambie aache tamaa umri mdogo atafute kijana mwenzie watafute maisha pamoja!
 
Wajibu na haki!!Babu kawajibika so lazima apewe haki yake simple tu like that,hivi hamjisikiagi aibu una date na mtu sawa na babu yako halafu unaporudi nyumbani unamringanisha na baba yako?Na ndo mana mm naapa hadi mwisho wa dunia hamtajikomboa kwa sababu ya kurithi vitabia vya utegemezi !!!wajibu na haki hapo babu ng'ang'ania usipewe uroda tu piga na mimba kabisa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sio mahala pake hapa! Hii inafaa kuleee MMU!
 
Kuna rafiki yangu (21yrs) ana-date na mtu mzima! Mzee amemwambia mwezi ujao anataka akatoe mahari kwa ajili ya kumuoa! Mzee anasema hawezi kumuacha binti coz 'keshawekeza' sanaaa na anampenda! Best alikua anachuna tu, lakin mzee kakomaa

Sasa best yangu anahangaika jinsi ya kujichomoa, ananiomba ushauri mimi! Kuna la kufanya hapo??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
.....alipanda upepo sasa ajiandae kuvuna "kimbunga"....

 
anachuna hafu anaenda peku....
mwambie azae tu na amlee mtoto na atulie na huyo babu.
 
Back
Top Bottom