Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Poa lakini umewaibia JinaNingekua wa huko ningerika..maan watu wangekaa sawa
Sio mbaya kutafuta kivuli cha kujifichia..maana kujifanya sana wakusini unaonekana nawe ni mmachinga kama wa karume hata kama una kazi uliyoipata kwa PHD yako.Poa lakini umewaibia Jina
RekebishaHe wonder if he is a plastic? Why cant he 'attract' magnets?
Sio mbaya kutafuta kivuli cha kujifichia..maana kujifanya sana wakusini unaonekana nawe ni mmachinga kama wa karume hata kama una kazi uliyoipata kwa PHD yako.Poa lakini umewaibia Jina
wondersRekebisha
ha ha ha ha haa,duuuh!jamii forums ni kiboko yao...nimecheka kwa nguvu kama mwehuAtajuta kuvaa suruali ya "kushonesha".......... hapo anasuburi hela ya udalali wake
Nenda kwenye post yako, click edit then unabadilisha hapo. Tunajifunza Ndugu usinichukie rafikiwonders
Mambo ya grammar hayo. Wewe ni mwalimu wa lugha nini?Nenda kwenye post yako, click edit then unabadilisha hapo. Tunajifunza Ndugu usinichukie rafiki
Hapana hiyo ni very basic for any English language student/learner!- I, We You, They- He, She, It.............Mambo ya grammar hayo. Wewe ni mwalimu wa lugha nini?
Brokeanashangaa wadada wawili kumgombania babu wa kizungu wakati yeye yupo alone