Ukiwa kwenye basi unaitwa "abiria".
Ukiwa kwenye maji unaitwa "mvuvi."
Ukiwa stendi "msafiri",darasani unaitwa "mwanafunzi".
Ukihitimu masomo unaitwa"msomi",shambani unaitwa "mkulima",kanisani/msikitini unaitwa"muumini"majina tunayoitwa ni mengi tu, kwenye daladala konda anamwambia dreva angalia "vichwa".
Je ukiwa gest utaitwaje?