Unaongea nini? Ccm wana nin? Viwanja wamenyang'anya vya umma, majengo yote ya walioyonayo ni ya umma. Wamechukua majengo mali zote za kipndi cha nyerere ambapo kilikuwa kipndi cha ujamaa. Acha usenge ku...mama....ko!
Masikini mzee wa watu, anaingizwa kingi live mchana kweupeee!
Kweli Dj ni noma
Safi sana mkuu,umempa anachostahili.Ni kweli asee
Wewe tukutane wapi kamanda?
Hakuna kitu kibaya kama kuiba hela ya Marehemu
Na pale Slaa atakaporudia upadre na mbowe atakaporudia kazi yake ya uDJVitaendelezwa tu pale mkoloni mweusi atakapotoweka kwenye uso wa TZ!
Huyu ni mwanachama mtiifu wa Chama Cha MIZIGO ....CCM , unategemea atakuwa mzigo wa aina gani?
Masikini mzee wa watu, anaingizwa kingi live mchana kweupeee!
Kweli Dj ni noma
Duh kweli Kula hela ya msiba ni laana mkuu.
Kwa hiyo na cdm wananyang'anya kwa wazee!
Masikini mzee wa watu, anaingizwa kingi live mchana kweupeee!
Kweli Dj ni noma
Masikini mzee wa watu, anaingizwa kingi live mchana kweupeee!
Kweli Dj ni noma
Safi sana mkuu,umempa anachostahili.
Kama vile wahindi wasivyojenga tanzaniaWameshapewa vingapi na wameendeleza vingapi?? Ukiangalia asset register ya CDM hamna building yoyote wala land. Siyo agenda ya CDM kufanya long term investment yoyoye cuz wanajifahamu kuwa wao ni wapitaji tu na wanajichumia matumbo yao.Mzee Sabodo alijitahid kuwapa na eneo but mpaka leo hamna kilichofanyika. Huyo mzee bora angetoa sadaka msikini au kanisani.