Huyu Gambo ni jipu tu anatafuta umaarufu kwa kupigana na vyama vingine, Arusha ilikuwa shwari sana kabla ya ujio wake, sasa anataka kurudisha Arusha ya Magesa Mulongo kupambana na chadema, aangalie mwenzake alifeli na sasa hana kazi. Huyu Gambo ndugu zake WARANGI ndio wamejaa Arusha kufanya biashara ya madawa ya kulevya lakini anapita vijiweni anakaa nao na kuwasikiliza wanavyoisifia ccm basi anaona sawa, mitaa ya MATEJOO NA NGARENARO warangi wanauza mirungi hadharani kabisa na analijua hili wakipelekwa mahakamani wanatoa rushwa kesi haziishi. WEWE GAMBO KAA NA HAWA NDUGU ZETU waambie waache mihadarati sio wakipelekwa polisi unawatoa kwa dhamana, hiis i haki. Fanya kazi kwa misingi ya sheria kama naibu waziri wa tamisemi alivyokuasa acha sifa. Warangi wanatia aibu sana Arusha sasa wewe ongea nao kirangi labda watakuelewa waache mihadarati na siasa za itikadi kali ya kidini.