Megawatt B
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 259
- 69
Inasikitisha sana. Barabara inayotengenezwa kutoka Namanga hadi Kondo pale Tegeta haina hata vijimfereji.
Wameshindilia udongo vizuri, sawa, lakini kama hakuna mifereji ya kupitisha maji ni bure kabisa.
Mvua zikija udongo wote barabarani utaondoka. Utaaalamu gani huu?