Akizungumzia migogoro, fujo na uharibifu wa mali, Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, alisema inachochewa na kauli za baadhi ya wanasiasa na asasi za kiraia (Azaki) dhidi ya serikali.
Dk. Bana alisema kama hawatadhibitiwa itatishia umoja, usalama na udugu wa kitaifa uliojengwa na waasisi wa taifa.
Hivi huyu jamaa ni Mhadhiri wa namna gani? Mbona anayoyasemaga hayaendani na kiwango cha elimu yake (kama ni Dr. kweli)?? Au ndiyo wale wahadhiri kutwa kucha wapo kwenye mabanda ya kuku? Hawana hata muda wa kujisomea ili kujijengea upeo mpana wa kuelewa jinsi jamii inavyo hitaji mabadiliko!!!!!
Pole sana Dr, Bana, kwa kuendekeza njaa elimu yako umeamua kuitia chooni!!!!
bado haijaja ile kampuni yao ya utafiti sijui inaitwaje....kuja kutudanganya na tafiti zao za data za grocery kuhusu mstakabali wa Taifa letu
Akizungumzia migogoro, fujo na uharibifu wa mali, Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, alisema inachochewa na kauli za baadhi ya wanasiasa na asasi za kiraia (Azaki) dhidi ya serikali.
Dk. Bana alisema kama hawatadhibitiwa itatishia umoja, usalama na udugu wa kitaifa uliojengwa na waasisi wa taifa.
Hivi huyu jamaa ni Mhadhiri wa namna gani? Mbona anayoyasemaga hayaendani na kiwango cha elimu yake (kama ni Dr. kweli)?? Au ndiyo wale wahadhiri kutwa kucha wapo kwenye mabanda ya kuku? Hawana hata muda wa kujisomea ili kujijengea upeo mpana wa kuelewa jinsi jamii inavyo hitaji mabadiliko!!!!!
Pole sana Dr, Bana, kwa kuendekeza njaa elimu yako umeamua kuitia chooni!!!!
Akizungumzia migogoro, fujo na uharibifu wa mali, Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, alisema inachochewa na kauli za baadhi ya wanasiasa na asasi za kiraia (Azaki) dhidi ya serikali.
Dk. Bana alisema kama hawatadhibitiwa itatishia umoja, usalama na udugu wa kitaifa uliojengwa na waasisi wa taifa.
Hivi huyu jamaa ni Mhadhiri wa namna gani? Mbona anayoyasemaga hayaendani na kiwango cha elimu yake (kama ni Dr. kweli)?? Au ndiyo wale wahadhiri kutwa kucha wapo kwenye mabanda ya kuku? Hawana hata muda wa kujisomea ili kujijengea upeo mpana wa kuelewa jinsi jamii inavyo hitaji mabadiliko!!!!!
Pole sana Dr, Bana, kwa kuendekeza njaa elimu yako umeamua kuitia chooni!!!!
kwa kwel dr. bana huwa anacomment mambo chin ya matarajio na kiwango cha elimu yake, dalili zinaonesha n mwana magamba damu.