Huyu Dkt. Lucas Webiro ni nani?

Status
Not open for further replies.

CV imekaa vyema, na performance ni superb. Ila sijaelewa vizuri hapo kwenye MBA na head of accounting deparment 2005,,
 
Mkuu Kiranga,
As could be expected, "The Society of Overthinking and Underdoing Zombies" is appealing this process at the non-United Nations.
Hii kitu ktk 'wrap' nimenukuu toka kwako, ni nini hasa maana naamini wengi hawakubali kuwa na ujasiri wa kutaka kuonesha kuachwa yaani kutofahamu undani wake kuelewa kitu ulichochangia unaweza kutupa somo kidogo maana michango ya wana-JF ni somo-endelevu sana. Overthinking siyo aina ya 'ugonjwa wa akili?
 
Halafu amesoma shule ya kata

Shule ya kata inakiwango gani cha elimu..je? kibaya au kizuri?km nikibaya basi unahusika moja kwa moja km GAMBA na serikali yenu inayo ratibu shule za kata.
 
Huyu jamaa anatisha.
 
Sasa CV gani ambayo haina Education Back Ground kwa Msomi.
Acha upoyoyo...


==>> Wee maandazi...is CV only about Edu. background...!!?? ur sick of brain tumor..!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…